Msaada: Binti yangu wa miaka 10 ni kikojozi

Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
kuna jamaa anayo dawa ya kienyeji unatengeneza mwenyewe nikionana nae takushtua
 
Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
Asipo pona mwanao ushauri ulipewa ikiwa hauku msaidia nitafute mimi nipate kumtibia apate kupona.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
 
Nina mtoto wa dada yangu yupo la saba alikua anajikojolea full time (bila kukosa) mpaka yupo la tano.

Mwanzo ililkua anachapwa ila baadaye tukajua kua bakora siyo dawa hivyo tukawa tunamuamsha usiku, vimiminika vyote visinywewe kwa wingi ikifika usiku, nguo zake akaanza kufua mwenyewe plus mablanketi, sasa hivi naona anakojoa part time.
Mnakaa hata mwaka hajajikojolea na siku hizi anaamka mwenyewe
 
Pole mkuu ila kumchapa sio solution..sikia hii
Kujikojolea ni ugonjwa wa akili (no offence) , yaan ubongo unachelewa kupokea taarifa kwamba kibofu kina mkojo akiwa amelala so hilo jambo si kwa hiari kumuadhibu sio solution.
Mdogo angu wa kike alisumbuka sana hadi anaingia form 2 boarding school bado alikua Ana hili tatizo .dawa aliotumia hadi akapona inaweza ikawasaidia pia.
Bibi angu alimletea jiwe flan hv alikuja nalo kutoka kagera huko asa akawa analiweka kwny moto then likipata moto analikojolea. Inashangaza lkn Ndio tiba iliyomponesha mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah unanikumbusha mimi yaan.. nimeacha ukubwani kabisaaa... na hii inatokana na ndoto za kuota unakojoa mahali fulani basi ukiamka tu unakuta tayari ushamwaga kojo kitandani..
Mwache hali itakata yenyewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala usimchape! Kwa mujibu wa wataalamu hiyo hsli itaisha yenyewe. Cha msingi aepuke kunywa maji au vitu vya majimaji kama soda kabla ya kulala usiku. Ni vigumu kuamini lakini ndiyo itakavyotokea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 10 mingi, atakua ana tatizo. Hujawahi kusikia mwanamke kaachika kisa tabia ya kujikojolea au mwingine hataki kabisa kuolewa kwa sababu ya aibu hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom