Msaada: Binti yangu wa miaka 10 ni kikojozi

sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
1,408
Likes
1,658
Points
280
sinajinasasa

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
1,408 1,658 280
Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
 
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
2,256
Likes
2,712
Points
280
Age
20
bright platnumz

bright platnumz

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
2,256 2,712 280
Nime kumbuka O level nlikua na jamaa alikua ni kikojozi nkawa nam tunzia siri afu tuki fika kwa watu wengi ana vunga mjanja ana nigeuka kama ani jui......
kuna siku aliji laza kwenye bed yangu kumbe kapitiwa aka kojoa wee nli mfulisha adi nguo zangu ambazo nlikua sina ata mpango wa kuzifua .....japo nli kula sana rushwa ili nisi mseme kwa watu adi tuna maliza amna aliye wai jua kama jamaa alikua ni kikojozi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Messages
1,329
Likes
714
Points
280
Baba Mbwa

Baba Mbwa

JF-Expert Member
Joined May 31, 2015
1,329 714 280
Nime kumbuka O level nlikua na jamaa alikua ni kikojozi nkawa nam tunzia siri afu tuki fika kwa watu wengi ana vunga mjanja ana nigeuka kama ani jui......
kuna siku aliji laza kwenye bed yangu kumbe kapitiwa aka kojoa wee nli mfulisha adi nguo zangu ambazo nlikua sina ata mpango wa kuzifua .....japo nli kula sana rushwa ili nisi mseme kwa watu adi tuna maliza amna aliye wai jua kama jamaa alikua ni kikojozi

Sent using Jamii Forums mobile app

inginiaringi ya udaktari mueshimiwa
 
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Messages
2,966
Likes
7,144
Points
280
-KANA-

-KANA-

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2017
2,966 7,144 280
Kwa hii JF ya leo, usishangae mtu akikushauri umnyweshe balimi mbili.

Anyway, usimchape mkuu. Ni hali ambayo hawezi kuicontrol.

Dogo langu mpaka limeingia form one sasa ndo limeacha kukojoa kitandani.

Ataacha tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwanadar

mwanadar

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Messages
222
Likes
112
Points
60
mwanadar

mwanadar

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2015
222 112 60
Kama utaweza kufuata huu ushauri utamsaidia. Wakati wa kupika ugali usiku usikoroge uji. Weka maji jikoni nyunyizia unga acha maji yachemke sana. Chota hayo maji ya moto. Yaweke pembeni songa ugali. Maji uliyo yachota yakiisha poa. Mpe anywe. Siku mbili tu. Hato kojoa tena. Fuata huo ushauri ni dawa tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2015
Messages
5,832
Likes
2,084
Points
280
Age
48
afande kifimbo

afande kifimbo

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2015
5,832 2,084 280
unapenda kuchapa sio.....
 
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,165
Likes
3,070
Points
280
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,165 3,070 280
Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia fumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
Hivi mpaka leo kweli kuna wazee wanachapa watoto wao,ndio maana Tanzania tumepata raisi kama Magufuli,Anayoyafanya Magufuli ni madhara ya kupigwa utotoni,....

Mama nakusihi acha kupiga mtoto wako,unapopiga mtoto kuna kitu unamuharibia katika "system" ya uwezo wake wa kujijua,kujiamini,,kujiheshimu,unamfanya awe na nidhamu ya woga,,unamfanya asijipende na kujiona kama yeye ana thamani katika maisha yake,...mchanganyiko wa hayo yote wazungu wanaita "self esteem"....

Wafrika hatuna "self esteem",au hata kama tunayo ni ndogo sana kutokana na kupigwa utotoni, ndio maana tuna "fail" katika mambo mengi,maamuzi yetu yanakuwa siyo,maisha yetu sio, watawala wetu wana kuwa sio,nchi zetu haziendelei kila siku ziko nyuma kimandelao.,kutokana na maamuzi mabovu

Kwanza nataka ufahamu kuwa mtoto anapokojoa kitandani anakuwa na matatizo ya kisaikologia "Psychological Problems" unapompiga unakuwa unazidisha matatizo humsaidii..

Chakufanya kaa chini na mtoto wako muonyeshe mapenzi,tafuta kitu kinachomsumbua kisaikologia kwa kuzungumza nae,muamshe usiku akakojoe chooni,asinywe chai au vinywaji vingeni usiku kabla ya kulala hiyo ndio dawa,....nakuambia haya kutokana na experince sio kama nabahatisha,ukifuata haya ninayokwambia mtoto wako hafiki wiki ataacha kukojoa kitandani
 
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,165
Likes
3,070
Points
280
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,165 3,070 280
Kama utaweza kufuata huu ushauri utamsaidia. Wakati wa kupika ugali usiku usikoroge uji. Weka maji jikoni nyunyizia unga acha maji yachemke sana. Chota hayo maji ya moto. Yaweke pembeni songa ugali. Maji uliyo yachota yakiisha poa. Mpe anywe. Siku mbili tu. Hato kojoa tena. Fuata huo ushauri ni dawa tosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushikina hautomsaidia mtoto asikojoe kitandani,wangu kaacha baada ya kujua nini kinamsumbua kisaikologia,,,
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,387
Likes
13,317
Points
280
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,387 13,317 280
Akikua ataacha.
Mimi nilikuwa nalimwaga hata mara mbili kwa usiku mmoja.
Nikiamka lazma nichezee bakora za dingi

Lakini haikusaidia. Yaani dingi alikariri asubuhi tu yupo chumbani kwangu na bakora.
Nilikuja kuacha nwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2015
Messages
5,043
Likes
6,532
Points
280
tozi25

tozi25

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2015
5,043 6,532 280
Wala usimchape! Kwa mujibu wa wataalamu hiyo hsli itaisha yenyewe. Cha msingi aepuke kunywa maji au vitu vya majimaji kama soda kabla ya kulala usiku. Ni vigumu kuamini lakini ndiyo itakavyotokea!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo juu ndio ushauri wa kuufata kuna mtoto wa sister wangu alifika miaka 14. Na bado alikuwa anakojoa hatareee kishazomewa, kishachapwa, kishapelekwa kwa madaktari walisema dawa ya kikojozi hakuna. Kwahio muachieni tu mpaka atawacha mwenyewe na kweli kwa sasa hakojoi tena kitandani ila jina la kikojozi mpaka leo analo 😄😄.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
bahati30

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,570
Likes
685
Points
280
bahati30

bahati30

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,570 685 280
Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
Mkuu usimchape, ila hakikisha usiku asinywe vitu vya majimaji na ujitahidi usiku ukiamka umwamshe akakojoe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JMF

JMF

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Messages
840
Likes
859
Points
180
JMF

JMF

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2013
840 859 180
Asinywe vimiminika masaa mawili kabla ya muda wa kulala. Pia nunua zile alarm za mezani ui set imwamshe kila baada ya masaa matatu usiku. Uiweke karibu kabisa na anapolala ili isiwasumbue watu wengine. Baada ya muda, ubongo waje utaji set wenyewe na atakua anaamka hayo masaa na kwenda kukojoa. Nilitumia hii njia na ilifanya kazi hadi 100%.
NB: Zingatia masaa ambayo alarm itaita yawe ni yale yale kila siku. Baada ya mwezi tuu atakua anaamka mwenyewe muda huo na kwenda kukojoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
879
Likes
545
Points
180
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2017
879 545 180
Ndugu wanabodi,

Kichwa cha habari chahusika.

Nina binti yangu ana miaka kumi sasa lakini anajikojolea sana usiku akilala.

Sometimes huwa namchapa sana viboko ili aache lakini haijasaidia, sasa nimemuacha natafakari njia za kumsaidia zaidi. Adhabu yake huwa ni kumlazimisha afue mashuka na nguo zote anazozikojolea.

Nimeona niwashirikishe ndugu zangu labda kuna yeyote aliyefikwa na shida kama hii na akaitafutia ufumbuzi.

Wenu katika kazi. Nisiye na jina humu.

Ahsanteni.
Unamuonea bure mtoto wako mkuu hiyo hali yeye haipendi hata kid go na anajisikia tabu kwanini unampiga kwa vile hafanyi kusudi.

Mimi nilikuwa na hali hiyo miaka ya 2002 badae ilikujaikakata ilijirudia tena 2003 mpk 2005 nilikuwa namwaga tu mkuu na nikijitahidi kuchelewa kulala na kutokunywa maji lakini ilikuwa nikae tu kitandani nipate usingizi nikishtuka tayar na kujiuliza baadhi ya maswali hivi mbona sipati hisia za kuhisi kukojoa ili nitoke aiseee niliona nikero kubwa kila siiku kutoa kigodoro njee, lkn kilichokuwa kikinisaidia na kukimbiza aibu watu wasijue nikwamba nyumba niliyokuwa ninaishi palikuwa nanyumba nyengine iliyokuwakaribu zaidi ambayo ilikuwa haijaimaliza kujengwa kwa hiyo ilipokuwaikifikia muda wa alfajir nikitoka za mdimilio yaan kimyakimya.

Kuna day flani alinijia brother wangu nakunieleza kwavile sikuzote unakojoa kitandani nitakupiga maana imeshakuwa mno nikawaza kwanini anipige kwavile sifanyi kwakutaka/kusudi na alitimiza adhma yake yakunipiga baada ya bakora ya 3 niliona mchi wakutwangia umepakiwa pembeni niliufuata nikamuelekea yeye alitoka ndukii kwa speed zote.

Bimother wangu alikuwa anajua hali yangu niliyokuwa nayo na aliniambia unamshipa na itabidi upate dawa za majani. Nilianza kutafutiwa dawa zile nanilitumia vizur tu na kwakweli tatzo liliondoka lá kukojoa kitandani mpaka sasa.

Samahan kwa maelezo marefu ila nikukufahamisha tu ndugu usimpige unamuonea sana.

Hata nyumban kwa watu ishanitokea hali hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Messages
879
Likes
545
Points
180
ndammu

ndammu

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2017
879 545 180
Akikua ataacha.
Mimi nilikuwa nalimwaga hata mara mbili kwa usiku mmoja.
Nikiamka lazma nichezee bakora za dingi

Lakini haikusaidia. Yaani dingi alikariri asubuhi tu yupo chumbani kwangu na bakora.
Nilikuja kuacha nwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Mimi wazee walinipiga sana walipokuwa hawajajua tatzo hilo nikiotewa na fimbo ikiwa tayar nikila nne hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ladder 49

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Messages
271
Likes
341
Points
80
Ladder 49

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2017
271 341 80
Ukimfatilia huyo binti mchana utagundua anajisaidia haja ndogo aifiki mara 3 kwa siku yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni ya saa moja,

Kwa hiyo Usiku lazima akojoe tu

Ushauri: kila siku aweanaenda choo kukojoa aanzie mara sita yaani isipungue mara sita kwa siku halafu ikifika saa mbili kamili asinywe maji
Akifanya hivyo kwa muda hatakuwa anakojoa usiku na akibawa na mkojo taarifa zinafika kwenye ubongo kumuamsha .

Mchana hata kama ajabanwa aende akakojoe mkojo utatoka tu hivyo hivyo kidogo.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Messages
4,165
Likes
3,070
Points
280
chabuso

chabuso

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2013
4,165 3,070 280
Unamuonea bure mtoto wako mkuu hiyo hali yeye haipendi hata kid go na anajisikia tabu kwanini unampiga kwa vile hafanyi kusudi.

Mimi nilikuwa na hali hiyo miaka ya 2002 badae ilikujaikakata ilijirudia tena 2003 mpk 2005 nilikuwa namwaga tu mkuu na nikijitahidi kuchelewa kulala na kutokunywa maji lakini ilikuwa nikae tu kitandani nipate usingizi nikishtuka tayar na kujiuliza baadhi ya maswali hivi mbona sipati hisia za kuhisi kukojoa ili nitoke aiseee niliona nikero kubwa kila siiku kutoa kigodoro njee, lkn kilichokuwa kikinisaidia na kukimbiza aibu watu wasijue nikwamba nyumba niliyokuwa ninaishi palikuwa nanyumba nyengine iliyokuwakaribu zaidi ambayo ilikuwa haijaimaliza kujengwa kwa hiyo ilipokuwaikifikia muda wa alfajir nikitoka za mdimilio yaan kimyakimya.

Kuna day flani alinijia brother wangu nakunieleza kwavile sikuzote unakojoa kitandani nitakupiga maana imeshakuwa mno nikawaza kwanini anipige kwavile sifanyi kwakutaka/kusudi na alitimiza adhma yake yakunipiga baada ya bakora ya 3 niliona mchi wakutwangia umepakiwa pembeni niliufuata nikamuelekea yeye alitoka ndukii kwa speed zote.

Bimother wangu alikuwa anajua hali yangu niliyokuwa nayo na aliniambia unamshipa na itabidi upate dawa za majani. Nilianza kutafutiwa dawa zile nanilitumia vizur tu na kwakweli tatzo liliondoka lá kukojoa kitandani mpaka sasa.

Samahan kwa maelezo marefu ila nikukufahamisha tu ndugu usimpige unamuonea sana.

Hata nyumban kwa watu ishanitokea hali hiyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wa wakiafrika wameweka mbele sana kupiga,ndio maana watoto wengi wa kiafrika wanakwa hawana akili,hawana maamzi,hawajiamini,hawana maaendeleo,...

Kama hizi kesi za mtoto kukojoa kitandani kwanini umpige au kumuadhirisha mtoto wakati mtoto mweyewe anaona aibu kwa kile kitendo cha kujikojolea kitandani....
 
2017 No Name

2017 No Name

Senior Member
Joined
Jul 26, 2017
Messages
161
Likes
104
Points
60
2017 No Name

2017 No Name

Senior Member
Joined Jul 26, 2017
161 104 60
To cut short, mkojo ukimbana mchana mpandishe juu ya mti halafu umwambie akojoe. Habari za kujikojolea kitandani zitaishia hapo. Sielewi hili linafanya vipi kazi lakini kwa kila niliyemshauri ilifanikiwa.
Hahaha,.. nshafanyishwaga huu ujinga na shangazi nikiwa mdogo... It didn't work though.
 
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2018
Messages
921
Likes
920
Points
180
FUTURE HUNTER

FUTURE HUNTER

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2018
921 920 180
Mlishe maji ya Mahindi zile nyewele zake likiwa teke teke ,zichemshe anywe wiki tu itamsaidia
Hii nimeona watu wakishuhudia inafanya kazi.so mhusika jaribu.
Swala la kumchapa halisaidii kitu hilo swala ni involuntary aisee.binafsi nilikuwa mhanga hadi naingia form one alafu nikaenda kaa geto na wana.But iliacha yenyewe mwaka huo huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,262,346
Members 485,558
Posts 30,120,901