nimecheka sana!!!
hivi mana ya kuomba ushauri humu nini?
lakini ni funzo kujua kuchuja kila unachoambiwa
hahahahaha!
JF is the best, sikutegemea kucheka kwa hii post!
kama una familia bora jipange mapema uchukue fast jet, kero za basi ni kama barabara, hali ya gari, hali ya dereva, hali ya wahudumu.
ila alternative ni kuwa na mood nzuri. kuna magari yanachelewa kuondoka na kufika, yanakaa muda barabarani sio kwa kusimama kila mahali ila kwa mwendo kiasi. mojawapo ni Metro na Fresh,
Ila ushauri mwingine ni kuchagua basi sio kampuni, basi lenyewe liwe yutong mpya kabla haijachoka. utajuaje? hapo siwezi kukuamulia.
Kuna madereva wana mabasi mazuri sana kilimanjaro bus na wahudumu wa ovyo. au basi na dereva ovy lakini mhudumu akaifanya safari iwe nzuri.