Nauli ya basi Moshi-Dar ni kiasi gani?

Paul dybala

JF-Expert Member
Jul 30, 2023
304
1,096
Wakuu naombeni kufahamishwa juu ya nauli ya basi kutoka Moshi-Dar na safari hii huchukua masaa mangapi kufika Dar?

Kwa sababu nimemtumia mpenzi wangu nauli mida ya saa sita na kanihakikishia atafika leoleo, hivyo basi mimi atanijulisha nikamsubirie Magufuli Terminal.

Je, kwa muda huo atapata usafiri?
 
Acha kuwa lofa,
Wakuu naombeni kufahamishwa juu ya nauli ya basi kutoka Moshi Hadi dar na safari hii huchukua masaa mangapi kufika dar?

Kwa sababu nimemtumia mpenzi wangu nauli mida ya sa sita na kanihakikishia atafika leoleo,hivyo bhasi Mimi atanijulisha nikamsubilie magufuli terminal.

Je kwa muda huo atapata usafiri?
hujui tovuti ya LATRA?
 
Moshi ya mbagala leo kunamvua foleni kidogo atafika tu salama.
 
Wakuu naombeni kufahamishwa juu ya nauli ya basi kutoka Moshi Hadi dar na safari hii huchukua masaa mangapi kufika dar?

Kwa sababu nimemtumia mpenzi wangu nauli mida ya sa sita na kanihakikishia atafika leoleo,hivyo bhasi Mimi atanijulisha nikamsubilie magufuli terminal.

Je kwa muda huo atapata usafiri?
Akikujali saana atafika saa nane usiku vinginevyo atafika kesho
 
Wakuu naombeni kufahamishwa juu ya nauli ya basi kutoka Moshi Hadi dar na safari hii huchukua masaa mangapi kufika dar?

Kwa sababu nimemtumia mpenzi wangu nauli mida ya sa sita na kanihakikishia atafika leoleo,hivyo bhasi Mimi atanijulisha nikamsubilie magufuli terminal.

Je kwa muda huo atapata usafiri?

Kama umemtumia saa sita mchana means alikuwa tayari yupo stand? Kama alikuwa bado hajajianda basi hadi kufika stand kama akiwa chap ni saa nane.....Kutoka Moshi mpaka Dar ni 11-12 hrs.
 
Wakuu naombeni kufahamishwa juu ya nauli ya basi kutoka Moshi-Dar na safari hii huchukua masaa mangapi kufika Dar?

Kwa sababu nimemtumia mpenzi wangu nauli mida ya saa sita na kanihakikishia atafika leoleo, hivyo basi mimi atanijulisha nikamsubirie Magufuli Terminal.

Je, kwa muda huo atapata usafiri?
nauli 30-40 INATEGEMEA NA GARI

SAFARI MASAA 8-10/12
 
We shukuru una mwanamke anaekutunza uanaume wako , wengine mpka dakika hii wanapiga puchu. Au kununua malaya
 
Nauli ya treni,Delux ,Dar kwenda Moshi ni:TZS 16,500/- kwa mabehewa daraja la 3
 
Back
Top Bottom