Msaada: Basi zuri Moshi - Dar

Msaada: Basi zuri Moshi - Dar

Si bora huyo kuna Maboya flani wanakaa kulee ukiwa unakaribia Mizani mpya kuna kama kamlima hivi....huwa wanafanyaga kurukia njiani kama maninja..huwa nawapa pesa za bandia

Ahahahahahahaaaa....!!!njaa zitawaua hawa watu..hela yenyewe ikizidi sn buku 5 halafu fake..duuh..!!
 
Achana na michina...panda klm kitu marcopolo zina booster... kweny bumps/ diversion huskii kitu..magar yao masafi pia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom