Dar Express lina customer care sifuri wahudumu na madereva hawajali Abiria. Unatoa nauli kubwa unaishia kupewa soda ya 600 na biscut ya 150. Hotel unayopelekwa kula ujipange wewe na familia chakula 6000 per plate, Barger 3500 maji na soda 2000 each. Wakati unaagiza gari linaondoka unaishia kulikimbiza. Kwa kifupi huduma na magari ya Dar Express Zimechoka. KLM nauli 33elfu huduma kama zilivyotajwa hapo juu.
Mi sitaki basi linalotimua mbio. Nataka basi tulivu la starehe ambalo linajali usalama wa raia.
Msae ndio lenyewe. full kiyoyozi. music plus vinywaji
si mchezo nimeipenda hiyo..,lakini lisije likawa halicheki na alama na sheria za barabarani pia..,afu jamaa tukamsahauKamata Buffalo. Halicheki na kima barabarani