MJOMBA CHAKA
Member
- Oct 22, 2022
- 89
- 69
Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede.
Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama wao, ili uwe mwanachama, itakulazimu utoe elf 92 kama ada ya uanachama.
Shirika litakapoanza kazi rasmi, wanachama watapewa misaada ya vyakula, kama ngano, unga. Mchele, mafuta na kadhalika.
Jamaa wawili watatu wapo huko na wananishawishi nijiunge. Kabla sijafanza lolote, naona bora niulize. Ili mwenye kujua anijuze. Isije kuwa ni mashirika mengine ya kitapeli, kama deci na kadharika.
Naomba kuwasilisha