Kwani amewafuata wakamwambia lazima tukupe?Siyo shida, kama vipi wa-cancel mkopo siyo kumn'gan'gania mtu.
Sijaelewa kama hawajaweka, si aende kwenye bank husika awaandikie barua yakutohitaji tena huo mkopo?Shida pesa hawajaweka pesa na msimamizi wake wa kazi alisaini apewe huo mkopo.
Sioni sababu ya kudanganya wakati jamaa ana haki zote na kosa ni la benki. Kudanganya ni kujiletea balaa nyingine kwani hiyo benki wanaweza kusema alisha saini mkataba hivyo ni lazima utekelezwe. Hiyo mbinu asiitumie ni mbovu sana. Naungana na waliosema kuwa aende kwa huyo mkuu wake wa kazini aliyesaini kupitisha mkopo, amweleze hali ilivyokuwa na yeye ampe barua ya kupeleka benki ku-cancel mkopo. Huyo jamaa mwambie asinyenyekee, tena awapandishie hao watu wa benki kwani haki iko upande wake. Asiishie kuonana na makarani aende kwa meneja.Yap, hili nalo neno.....ngoja tucheki
Hela si zinaingia kwenye a/c?Kama vipi awaambie Bank kapoteza Card yake kuvuta mda akiwa anawaza cha kuwatema isije ikaingizwa chap.
unatakiwa ujue kabla ya..Hatari sana, sema ningejua ni jibu la mjing
safi sanaSioni sababu ya kudanganya wakati jamaa ana haki zote na kosa ni la benki. Kudanganya ni kujiletea balaa nyingine kwani hiyo benki wanaweza kusema alisha saini mkataba hivyo ni lazima utekelezwe. Hiyo mbinu asiitumie ni mbovu sana. Naungana na waliosema kuwa aende kwa huyo mkuu wake wa kazini aliyesaini kupitisha mkopo, amweleze hali ilivyokuwa na yeye ampe barua ya kupeleka benki ku-cancel mkopo. Huyo jamaa mwambie asinyenyekee, tena awapandishie hao watu wa benki kwani haki iko upande wake. Asiishie kuonana na makarani aende kwa meneja.
Pole yake sana...
Aombe Mungu wawe hawajaingiza makato yani anakatwa na hajaona hio hela alokopa!Pole yake sana...
Mwambie apeleke malalamiko yake BOT; Wata respond haraka na kumtetea. Wao (BOT) ndio watawasiliana na benki husika na kuwataka na wao watoe maelezo kuhusu kilichotokea, kisha watalinganisha na maelezo yake, from there suluhisho litapatikana chini ya BOT, wao wakiwa kama mediator. Banks zinawaogopa BOT maana wao ndio regulator wao. Lakini aanze kwanza kuongea na bank yake hiyo, awaeleze kuwa kwa sasa yeye haitaji tena mkopo anaomba acancel maana dharura aliyokua anataka pesa kwa ajili yake imeshapita, wakimkatalia sasa ndo atimbe kitengo cha malalamiko BOT. Anaweza pia kuwatumia e mail, wako very fast kwenye kurespond. Siku hizi mimi bank wakinizingua, sihangaiki nao kabisa, napeleka malalamiko yangu BOT, kinachofuatia wao wenyewe ndo watanitafuta. Siku hizi bank wameshanijua, nikiwa na ishu wanahakikisha wanai resolve, maana wanajua wakiniacha hewani tu au wakishindwa kuresolve, next thing watatafutwa na BOT kuhusu hiyo ishu. E mail ya kitengo cha malalamiko BOT ni complaints-desk@bot.go.tzNimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.
Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.
Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.
Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.
Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.
Mungu akubariki sana Dr hakika hii inaweza msaidia sana rafiki yangu, ubarikiwe mno....🙏🙏🙏Mwambie apeleke malalamiko yake BOT; Wata respond haraka na kumtetea. Wao (BOT) ndio watawasiliana na benki husika na kuwataka na wao watoe maelezo kuhusu kilichotokea, kisha watalinganisha na maelezo yake, from there suluhisho litapatikana chini ya BOT, wao wakiwa kama mediator. Banks zinawaogopa BOT maana wao ndio regulator wao. Lakini aanze kwanza kuongea na bank yake hiyo, awaeleze kuwa kwa sasa yeye haitaji tena mkopo anaomba acancel maana dharura aliyokua anataka pesa kwa ajili yake imeshapita, wakimkatalia sasa ndo atimbe kitengo cha malalamiko BOT. Anaweza pia kuwatumia e mail, wako very fast kwenye kurespond. Siku hizi mimi bank wakinizingua, sihangaiki nao kabisa, napeleka malalamiko yangu BOT, kinachofuatia wao wenyewe ndo watanitafuta. Siku hizi bank wameshanijua, nikiwa na ishu wanahakikisha wanai resolve, maana wanajua wakiniacha hewani tu au wakishindwa kuresolve, next thing watatafutwa na BOT kuhusu hiyo ishu. E mail ya kitengo cha malalamiko BOT ni complaints-desk@bot.go.tz
Maelekezo yao namna ya kuwasilisha malalamiko:
How to lodge your complaint
Your clear and concise complaint can be lodged in
any of the following ways:
a) By hand to the Office of the Secretary to the
Bank, at 10 Mirambo Street, Dar Es Salaam.
b) By post to the office of the Secretary to the
Bank, P. O. Box 2939, Dar es salaam.
c) By electronic mail: complaints-desk@bot.go.tz
d) By facsimile: +255 22 2234067
e) By phone: +255 22 2233265/ +255 22
2233246
Website link ya BOT yenye maelezo zaidi: https://www.bot.go.tz/Adverts/PressRelease/en/202003130724035374.pdf
Adolph Jr
Afanye haraka wasije kumliza aseeNimepata pa kuanzia hapo juu ngoja nimcheki haraka rafiki aanze mchakato na hiyo email
Kwani kaisha saini offer letter? Kama haja saini hakuna haja yoyote yakuwaza kwakua hakuna contractual agreement between patties wa huo mkopo,...na kama kasaini ila disbursement haijafanyika aandike barua ya kisheria ku cancel hiyo loan kwakua purpose ya application ya hiyo loan hiapo tena....Nimepokea, taarifa usiku huu za rafiki yangu aliyepatwa na msiba mwishoni mwa mwaka jana na kuzika January mwaka huu.
Ni mtumishi wa serikalini kapatwa na msiba ghafla akaenda kukopa Bank ya ABC ili kumsaidia na masuala ya msiba, Tsh milioni 2 hiyo tarehe 29/12/2023.
Kaambiwa baada ya masaa 24 pesa itaingia ila hadi leo tarehe 8/01/2024 pesa hakuna na kwa taarifa ni kuwa, taarifa zake kwa mkuu wake wa kazi zimeishapita kasaini apewe mkopo ila kaambulia patupu hadi leo.
Msiba uliishaisha kwa msaada wa raia wema wakamkopesha akayamaliza huko kwao, sasa ndiyo naongea naye hapa anaomba ushauri jinsi ya kujitoa kwenye mkopo huu hewa.
Msaada kwa huyu ndugu kama ni wa kisheria ajitoe tu kwenye hili janga.