kichenchele
JF-Expert Member
- Jun 28, 2010
- 539
- 176
Wadau naombeni mwenye kufahamu kwa ufasaha hiki kipengele kilichopo ktk hii form ya hawa watu wa TCU ambayo unatakiwa ujaze tayari kwa kufungua account yako ambayo utaitumia kwa kutuma particulars zako kwa ajili ya maombi ya chuo, kipengele hiki kinasomeka'' VOUCHER NUMBER'' sasa hapa unatakiwa kujaza nn au kama ndo hii voucher number je kwa mtu kama mm nisiye fahamu ninafanyaje?