AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,537
- 4,516
Mfano..?Kozi ambazo hazizalishi au kutengeneza kitu,sio kozi nzuri za kusoma
Mfano..?Kozi ambazo hazizalishi au kutengeneza kitu,sio kozi nzuri za kusoma
Archaeology and history
Fine arts
Education in arts
Madokta wa nini? Au unazungumzia kina Dokta Levi wa gazeti la sani.Hivi kweli kuna Kozi ambae mtaani haina watu kwa awamu hii kama tu hadi Madokta tunaishi nao🤔
Endelea kujitoa akili kwa kutokufahamu nachozungumza.Madokta wa nini? Au unazungumzia kina Dokta Levi wa gazeti la sani.
Ni ngumu kukuta daktari wa upasuaji kukosa kazi...fani zenye asili ya kukupa ujuzi wa kuumba/kutengeneza kitu ni nzuri zaidi,na hizi fani zinakupa uwezo mkubwa wa kujiajiriMfano..?
Kwenye law hapo unataka connection ya kuelekea wapi??Mtoto wa maskini ambaye hana hata tu-connection unamkuta anasoma haya madude,
- LAW
- PROCUREMENT
- BUSINESS ADMN.
- PHILOSOPHY (Hii huwa nashangaa kwelikweli)
- SOCIOLOGY
- PUBLIC RELATIONS (Hawa ukiwakuta chuoni wanavyoringa sasa, wakati wanakuja kusota mpaka wanapauka)
- HUMAN RESOURCE
- COMMUNITY DEVELOPMENT.
MUHIMU: MAADA INALENGA KUTEGEMEA KOZI ILI KUAJIRIWA (SIO KUJIAJIRI)
Kozi hizi ni
-ualimu (education)
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing
Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya idadi za ajira na wahitimu wa hizi fani, Kozi tajwa hapo juu ni nadra sana kutangazwa ajira na hapo hapo kuna wahitimu wengi ambao bado wanasubiri ajira zinazotoka chache kwa spidi ya kobe.
Kwa mfano, Kozi ya procurement kila mwaka wahitimu wanaweza kufikia elfu 5 ila ni ajira 10 tu mwaka mzima hutolwa na serikali. Kutoka mwaka 2015 hadi sasa panaweza kuwa na wahitimu wa fani hii elfu 15 ambao bado hawajapata ajira hizi chache zinaotoka taratibu.
Ningependa serikali iwe na mkakati mzuri wa kuvielekeza chuo kwamba idadi Fulani ya wahitimu ikifikia basi kozi inabidi zisimame kwa kipindi Fulani hivi.
HAPANA MKUU HAPO KWENYE HIO LISTI TOA BBA NA MARKETING SIO KWELI ETI NI FANI AMBAZO HAZINA UMUHIMU.
KWA BBA NA MARKETING ZINA SOKO KUBWA LA AJIRA. SEMA KWA MARKETING ITAKULIMIT USPECIALIZE KWENYE KAZI ZA MASOKO TU ILA KWA BBA UNAWEZA KUFANYA KAZI ZA HR, ACCOUNTANT, MARKETING, PROGRAM OFFICER WA NGO, AFSA MTENDAJI WA KATA NA SEHEMU ZINGINE.
HATA KWENYE UALIMU SI KWELI KWAMBA NI FANI AMBAYO MTU AMEPOTEZA MUDA WAKE KUSOMA UALIMU, MBONA KUNA SHULE ZA PRIVATE KIBAO KWENYE KILA MTAA. TATIZO LILIOPO KWENYE FANI YA UALIMU NI KWAMBA TAYARI KUNA MENTALITY IMESHAJENGWA KWENYE VICHWA VYA WALIMU KWAMBA KILA MTU ANATAKA KUAJIRIWA SERIKALINI YAANI HAWATAKI KUAJIRIWA PRIVATE SCHOOLS. YAANI KILA MTU AMESHAONA SERIKALINI NI HOTCAKE KWA AJIRA ZA UALIMU, MATOKEO YAKE WALIMU WENGI HAWANA INTEREST ZA KUFUNDISHA PRIVATE SCHOOLS. WANAFOSI KUAPPLY GOVT WAKATI NAFASI NI CHACHE.
HAPO ZAMANI WALIMU WALIKUWA WANAANGALIA FURSA SEHEMU ZOTE NA HAWAKUWA NA HII MENTALITY ILIYOPO SASAHIVI KWA WALIMU WA KIZAZI HIKI. WANATAKA KUAJIRIWA SEHEMU MOJA TU.
Upo sawa kabisaKuhusu kwa kozi kupigwa marufuku ili swala halitoweza kutokea kwa miaka ya sasa.
Swala la ajira nchini limekuwa Ni changamoto Sana nini kifanyike Ni wahitimu kuweza kuwashawishi wazazi/walezi wao kuwapatia kiasi ambacho kitaweza kuwasaidia kufungua biashara yoyote ile.
Fursa zipo nyingi nchini Ni kilichobaki wahitimu kuondoa nadharia ya kuajiriwa ndani ya vichwa vyao na kuanza kujiajiri wao wenyewe.
Hapo rafiki tutatofautiana. Kila kozi hapo ina maana na mtu awezaitumia na akatoka bila kusubiri ajira. Sema mfumo wetu feki ! Mtu usome ualimu ile unamaliza weka makuti darasa tayari. Namfahamu dogo mmoja kumaliza diploma ya ualimu Huyo akaanzisha tuition primary, akashuk akaanzisha na chekechea akaanza kuajiri, akaanzisha na tuition ya sekondari sasa hivi imesajiliqa kama open school! Ana walimu zaidi 30 kufundisha kuanzia chekechea hadi sekondari. Yuko vizuri.MUHIMU: MAADA INALENGA KUTEGEMEA KOZI ILI KUAJIRIWA (SIO KUJIAJIRI)
Kozi hizi ni
-ualimu (education)
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing
Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya idadi za ajira na wahitimu wa hizi fani, Kozi tajwa hapo juu ni nadra sana kutangazwa ajira na hapo hapo kuna wahitimu wengi ambao bado wanasubiri ajira zinazotoka chache kwa spidi ya kobe.
Kwa mfano, Kozi ya procurement kila mwaka wahitimu wanaweza kufikia elfu 5 ila ni ajira 10 tu mwaka mzima hutolwa na serikali. Kutoka mwaka 2015 hadi sasa panaweza kuwa na wahitimu wa fani hii elfu 15 ambao bado hawajapata ajira hizi chache zinaotoka taratibu.
Ningependa serikali iwe na mkakati mzuri wa kuvielekeza chuo kwamba idadi Fulani ya wahitimu ikifikia basi kozi inabidi zisimame kwa kipindi Fulani hivi.
Mtoto wa maskini ambaye hana hata tu-connection unamkuta anasoma haya madude,
- LAW
- PROCUREMENT
- BUSINESS ADMN.
- PHILOSOPHY (Hii huwa nashangaa kwelikweli)
- SOCIOLOGY
- PUBLIC RELATIONS (Hawa ukiwakuta chuoni wanavyoringa sasa, wakati wanakuja kusota mpaka wanapauka)
- HUMAN RESOURCE
- COMMUNITY DEVELOPMENT.
Sociology ni kiraka ubafiti kwenye multiple jobs.
Hilo inatakiwa mwanafunzi mwenyewe afanye utafiti wa kutosha na kujiridhisha kabla.Mkumbo mbaya sana.hapana mkuu,kozi za ualimu watu wanaoajiriwa baada ya kuhitimu ni 10% kumfundisha mtu wakati unajua akihitimu hana kazi ni WIZI!!! ingekua capped kuwa wanaohitajika kusoma ni 10,000 number inakua hio hio...mpaka soko lao la ajira linabalance..
mbona sababu nimeshasema, wameona govt ni heshima zaidi.Jiulize kwa nini wanapendelea ajira serikalini badala ya private.
Kujiajili ndio nini? mnakera sana msojua Kiswahili!Asa mtu aliesoma busness administration au finance accoutance anataka aajiliwe na serikali kivipi wakati yeye anaweza kujiajili endapo akipata mtaji?
Kwangu mimi navoona kwa mtu yeyote aliesomea maswala ya biashara na fedha yeye kidogo ndo mwenye kaunafuu kwasababu anaweza kufungua biashara zake na akasimamia vizuri kilaam.
Mbona watu ambao hawajaenda shule wanapiga mishe zao na zinaenda vizuri iweje watu wenye elimu wanashindwa kubuni mikakati ya kujiajiti na kutengeneza ajiraa kwa wengne
Wenye specialized proffesion za uhasibu huwa tunafurahi sana watu wa business administration wanapokuja kusomea c.p.a, Yani inakuwa ni ushahidi tosha walisomea kozi wasizotaka ama kujaribu kutaka kurekebisha makosa yao, Why uanze ku pursue career ya uhasibu baada ya degree, kwanini usingeanzaga tangu form six, diploma ama degree.Business Admistration ndio kozi tamu za biashara kuliko zote haya twende sawa sasa
Accountant kwanini unaweza kuwa accountant kwa sababu utasoma haya
Business Accounting
Cost Accounting
Qualitative Methods
Taxation
Financial management
Corporate Finance
Management Accounting
Risk management
Ndio maana ukisoma BBA ukitaka kuchukua CPA unaondolewa masomo 3 na unafanya 3 from foundation level
Sasa kama mwanafunzi alikuwa smart na izo modules na akafanya hata internship ya miez 6 anakuwa muhasibu mzuri tu hapo ukiongeza na accounting software kama pitchtil, Tally na quick books fresh sana
Anaweza kuwa Human resource kutokana na mambo yafuatayo
Management Principles and Practices
Business Organasation and Management
Business Law ( Employment and labour relation act 2004, law of contract, sale of good act)
Human resource Management( Hr Manual, Recruitment and selection, Training and development, Labour disputes, Application Tracking systems and Performance management)
Organasation behaviour
Management information system
Business Contract management ( Hapa mambo yote ya CMA yapo hapa)
Strategic Management hapa unaelekezwa mambo ya Policies
Corporate governance hapa mnafundishwa legal compliance zote kama OSHA, WCF, NSSF and NHIF
Haya anaweza kuwa katika Marketing au Sales kutokana na yafuatayo
Business Environment
Marketing Management
International business
Marketing research
Service marketing
E-commerce
kwa kusema hivyo huyu aliyesoma BBA ni more valuable and potential kwa hayo maeneo 3 mwisho wa kuchangia
Business Admistration ndio kozi tamu za biashara kuliko zote haya twende sawa sasa