DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,486
Unataka nisome Education ili nichekwe ?Mtoto wa maskini ambaye hana hata tu-connection unamkuta anasoma haya madude,
- LAW
- PROCUREMENT
- BUSINESS ADMN.
- PHILOSOPHY (Hii huwa nashangaa kwelikweli)
- SOCIOLOGY
- PUBLIC RELATIONS (Hawa ukiwakuta chuoni wanavyoringa sasa, wakati wanakuja kusota mpaka wanapauka)
- HUMAN RESOURCE
- COMMUNITY DEVELOPMENT.