Mrundikano kitaa: Kozi hizi zipigwe stop miaka mitatu, kazi zinatoka taratibu kwa wahitimu

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
MUHIMU: MAADA INALENGA KUTEGEMEA KOZI ILI KUAJIRIWA (SIO KUJIAJIRI)

Kozi hizi ni
-ualimu (education)
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing

Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya idadi za ajira na wahitimu wa hizi fani, Kozi tajwa hapo juu ni nadra sana kutangazwa ajira na hapo hapo kuna wahitimu wengi ambao bado wanasubiri ajira zinazotoka chache kwa spidi ya kobe.

Kwa mfano, Kozi ya procurement kila mwaka wahitimu wanaweza kufikia elfu 5 ila ni ajira 10 tu mwaka mzima hutolwa na serikali. Kutoka mwaka 2015 hadi sasa panaweza kuwa na wahitimu wa fani hii elfu 15 ambao bado hawajapata ajira hizi chache zinaotoka taratibu.

Ningependa serikali iwe na mkakati mzuri wa kuvielekeza chuo kwamba idadi Fulani ya wahitimu ikifikia basi kozi inabidi zisimame kwa kipindi Fulani hivi.
 
Kozi hizi ni
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing
-Ongezea na nyibgine

Mkuu ongezea hizi kozi hapo,

Petroleum engineering,
Petroleum geology,
Oil and gas engineering
 
Kozi hizi ni
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing
-Ongezea na nyibgine

Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya idadi za ajira na wahitimu wa hizi fani, Kozi tajwa hapo juu ni nadra sana kutangazwa ajira na hapo hapo kuna wahitimu wengi ambao bado wanasubiri ajira zinazotoka chache kwa spidi ya kobe.

Kwa mfano, Kozi ya procurement kila mwaka wahitimu wanaweza kufikia elfu 5 ila ni ajira 10 tu mwaka mzima hutolwa na serikali. Kutoka mwaka 2015 hadi sasa panaweza kuwa na wahitimu wa fani hii elfu 15 ambao bado hawajapata ajira hizi chache zinaotoka taratibu.

Ningependa serikali iwe na mkakati mzuri wa kuvielekeza chuo kwamba idadi Fulani ya wahitimu ikifikia basi kozi inabidi zisimame kwa kipindi Fulani hivi.
Waongezeke wawe wengi, msiogope competition ,hii inafanya tuwe na compentent staff
 
Mtoto wa maskini ambaye hana hata tu-connection unamkuta anasoma haya madude,

- LAW
- PROCUREMENT
- BUSINESS ADMN.
- PHILOSOPHY (Hii huwa nashangaa kwelikweli)
- SOCIOLOGY
- PUBLIC RELATIONS (Hawa ukiwakuta chuoni wanavyoringa sasa, wakati wanakuja kusota mpaka wanapauka)
- HUMAN RESOURCE
- COMMUNITY DEVELOPMENT.
 
Kozi hizi ni
-ualimu (education)
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Petroleum Chemistry
-Business Administration
- Marketing
-Ongezea na nyibgine

Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya idadi za ajira na wahitimu wa hizi fani, Kozi tajwa hapo juu ni nadra sana kutangazwa ajira na hapo hapo kuna wahitimu wengi ambao bado wanasubiri ajira zinazotoka chache kwa spidi ya kobe.

Kwa mfano, Kozi ya procurement kila mwaka wahitimu wanaweza kufikia elfu 5 ila ni ajira 10 tu mwaka mzima hutolwa na serikali. Kutoka mwaka 2015 hadi sasa panaweza kuwa na wahitimu wa fani hii elfu 15 ambao bado hawajapata ajira hizi chache zinaotoka taratibu.

Ningependa serikali iwe na mkakati mzuri wa kuvielekeza chuo kwamba idadi Fulani ya wahitimu ikifikia basi kozi inabidi zisimame kwa kipindi Fulani hivi.
HAPANA MKUU HAPO KWENYE HIO LISTI TOA BBA NA MARKETING SIO KWELI ETI NI FANI AMBAZO HAZINA UMUHIMU.
KWA BBA NA MARKETING ZINA SOKO KUBWA LA AJIRA. SEMA KWA MARKETING ITAKULIMIT USPECIALIZE KWENYE KAZI ZA MASOKO TU ILA KWA BBA UNAWEZA KUFANYA KAZI ZA HR, ACCOUNTANT, MARKETING, PROGRAM OFFICER WA NGO, AFSA MTENDAJI WA KATA NA SEHEMU ZINGINE.

HATA KWENYE UALIMU SI KWELI KWAMBA NI FANI AMBAYO MTU AMEPOTEZA MUDA WAKE KUSOMA UALIMU, MBONA KUNA SHULE ZA PRIVATE KIBAO KWENYE KILA MTAA. TATIZO LILIOPO KWENYE FANI YA UALIMU NI KWAMBA TAYARI KUNA MENTALITY IMESHAJENGWA KWENYE VICHWA VYA WALIMU KWAMBA KILA MTU ANATAKA KUAJIRIWA SERIKALINI YAANI HAWATAKI KUAJIRIWA PRIVATE SCHOOLS. YAANI KILA MTU AMESHAONA SERIKALINI NI HOTCAKE KWA AJIRA ZA UALIMU, MATOKEO YAKE WALIMU WENGI HAWANA INTEREST ZA KUFUNDISHA PRIVATE SCHOOLS. WANAFOSI KUAPPLY GOVT WAKATI NAFASI NI CHACHE.
HAPO ZAMANI WALIMU WALIKUWA WANAANGALIA FURSA SEHEMU ZOTE NA HAWAKUWA NA HII MENTALITY ILIYOPO SASAHIVI KWA WALIMU WA KIZAZI HIKI. WANATAKA KUAJIRIWA SEHEMU MOJA TU.
 
Kuhusu kwa kozi kupigwa marufuku ili swala halitoweza kutokea kwa miaka ya sasa.

Swala la ajira nchini limekuwa Ni changamoto Sana nini kifanyike Ni wahitimu kuweza kuwashawishi wazazi/walezi wao kuwapatia kiasi ambacho kitaweza kuwasaidia kufungua biashara yoyote ile.

Fursa zipo nyingi nchini Ni kilichobaki wahitimu kuondoa nadharia ya kuajiriwa ndani ya vichwa vyao na kuanza kujiajiri wao wenyewe.
 
Mkuu hizo gani unazotetea watu wanahangaika Nazo sana, hio marketinting inawavutia watu wakisikia kwamba kina twisa wa Vodacom wanavuta 30M kila mwezi kumbe ni kazi mno kufikia hizo level na ajira ni chache mno zaidi ya mno kwenye marketing. Hao business administration wana taaluma mahususi ya kusimamia miradi na wanafaa kujiajiri, huku kuingia kufanya kazi za uhasibu kwasababu walisoma introduction ya accounting semester ya kwanza labda hizo kazi wapewe na kaka zao, fani ya uhasibu ni pana mno mtu wa business administration kagusa introduction tu.

Kuhusu walimu kupenda kufabyia serikalini ni kwamba wana uhakika wa mshahara stable na wanaweza kupewa mikopo ya serikali, hizi shule za private ni mizenguo na nimeshudia walimu wazuri kabisa wanalipwa 300k kwa mwezi bila stability wakati serikali ni kila mwezi inaingia laki 5 n mkopo kwa juu.

Bado unasoma chuo au??
 
Yani kiufupi kama mtu ana ndoto za kujiajiri kama mjasiriamali ni vizuri zaidi apige degree yake ya business administration akusanye mtaji wake na atumie hio elimu take kukuza biashara aajiri wenzake waliosomea taaluma ambazo ni muhimu katika kiendesha biashara yake
 
Mkuu hizo gani unazotetea watu wanahangaika Nazo sana, hio marketinting inawavutia watu wakisikia kwamba kina twisa wa Vodacom wanavuta 30M kila mwezi kumbe ni kazi mno kufikia hizo level na ajira ni chache mno zaidi ya mno kwenye marketing. Hao business administration wana taaluma mahususi ya kusimamia miradi na wanafaa kujiajiri, huku kuingia kufanya kazi za uhasibu kwasababu walisoma introduction ya accounting semester ya kwanza labda hizo kazi wapewe na kaka zao, fani ya uhasibu ni pana mno mtu wa business administration kagusa introduction tu.

Kuhusu walimu kupenda kufabyia serikalini ni kwamba wana uhakika wa mshahara stable na wanaweza kupewa mikopo ya serikali, hizi shule za private ni mizenguo na nimeshudia walimu wazuri kabisa wanalipwa 300k kwa mwezi bila stability wakati serikali ni kila mwezi inaingia laki 5 n mkopo kwa juu.

Bado unasoma chuo au??
hamna mkuu bado napingana na wewe, mimi nina diploma ya marketing na tayari nimefanya kazi kwenye kampuni 3 kubwa za marketing na nimekutana na watu wa sales wengi ambao wamesoma kozi za bba, bicom na accounts.
 
Back
Top Bottom