Mrs Meya akiwa katika pozi tofauti

Mrs Meya akiwa katika pozi tofauti

Mbona wewe huna ndoa hata moja, udangaji wake unampa ndoa na maisha bora, mzee lakini anaolewa kila anavyojisikia,

Kama nakuona unavyolala makaburini umpate hata yule wa 'njoo tukae' lakini wanafunua na kupita,

Husda zitawaua.
Duu mbona umeongea kwa uchungu Sana?!
 
Duu mbona umeongea kwa uchungu Sana?!
Sio weye mwenye uchungu hadi ukamfungulia uzi mtoto wa mwanamke mwenzio, hehehehe

Ndoa afunge mwingine povu likutoke wewe kama si uchawi nini, mtu mzima hovyooooo
 
Huyu alikuwa akijiitaga dida wamchops baadae akawa anajiita dida wa ezden hao wote walikuwa waume zake na wengine wawili nimesahau majina yao inshot keshaolewa Mara kibao tu

Sasa keshakuwa kibibi ndio kaangukia kwa muheshimiwa
Kwa kifupi huyu Ni mdangaji km wandangaji wengine wa mjini tu
Huwez kumpangia mtu matumizi ya sehem zake za Siri



Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ingekuwa mimi na umri wangu ningeolewa kimya kimya ata staff wenzangu wasingejua ndoa enyewe mke wa pili[emoji57][emoji57][emoji57]
Alaf ww mwenye n ndoa yako ya
4 na hujui Kama utadumu hapo
[emoji1][emoji1][emoji1]
 
She is cheap and desperate?
Huenda analazisha mahusiano na ndoa za chap chap ama ana tatizo kubwa la kiakili na kitabia.
This is not normal.
 
Mwacheni aolewe jamani! Kuna wanawake wana 30-40------hawajawahi olewa hata ile barua yakipiga hodi kwa wazazi hawajawahi ipata, mwenzenu kaweka CV zakutosha ndani na vyeti kibao vya ndoa, siri ya utamu wa asali wanaijua walaji, wanaume acheni kuumia kwa ndoa ya mwezenu!
Mi siumii ila namshangaa diwani
 
Back
Top Bottom