Mrs Meya akiwa katika pozi tofauti

Mrs Meya akiwa katika pozi tofauti

Dunia ipo mbio sana, hii ilikuwa ndoa ya tatu nadhani... Wa kuitwa Dida wa Edzen
Screenshot_20210613_091126.jpg
 
Moyo wa mtu kichaka, kila mtu na chaguo lake, hao vitoto vibichi kawaachia nyie. Lol
Mwanaume mzima unaona wivu mwanamke kuolewa, au unataka Meya akuoe wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Ndoa zenyewe haudumu nazo didah ebu sasa kitulize kipapa hicho
 
Huyu alikuwa akijiitaga dida wamchops baadae akawa anajiita dida wa ezden hao wote walikuwa waume zake na wengine wawili nimesahau majina yao inshot keshaolewa Mara kibao tu

Sasa keshakuwa kibibi ndio kaangukia kwa muheshimiwa
Kwa kifupi huyu Ni mdangaji km wandangaji wengine wa mjini tu
Mbona wewe huna ndoa hata moja, udangaji wake unampa ndoa na maisha bora, mzee lakini anaolewa kila anavyojisikia,

Kama nakuona unavyolala makaburini umpate hata yule wa 'njoo tukae' lakini wanafunua na kupita,

Husda zitawaua.
 
Ingekuwa mimi na umri wangu ningeolewa kimya kimya ata staff wenzangu wasingejua ndoa enyewe mke wa pili[emoji57][emoji57][emoji57]
Sasa tutajuaje kama kaolewa jamani? Ngoja ajipe raha mwenyewe maana yakupewa inamasimango sana!
 
Hakuna kitu Bora wanacho kipenda wanawake Kama kuitwa mke wa flani hii kitu wanachosema hawana shida na mwanaume au ndoa Ni unafki mkubwa Sana

Sifa kuu ya kwanza ya mwanamke Ni kuolewa akiwa na bikra lile shuka jeupe wakat wa honeymoon Lina maana kimaagano

Ndio maana ndoa nying hazidumu sababu teyar uzinifu ulishafanyika kabla ya ndoa

NB: Hakuna mwanamke Alie kamilika bila ya ndoa na huo uchukulia Kama mkosi na mwanamke akiolewa na kuachika huwa Ni mkosi pia na kudumu katika ndoa nyingne huwa Ni Kaz Sana
 
Moyo wa mtu kichaka, kila mtu na chaguo lake, hao vitoto vibichi kawaachia nyie. Lol
Mwanaume mzima unaona wivu mwanamke kuolewa, au unataka Meya akuoe wee? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Inashangaza atiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu alikuwa akijiitaga dida wamchops baadae akawa anajiita dida wa ezden hao wote walikuwa waume zake na wengine wawili nimesahau majina yao inshot keshaolewa Mara kibao tu

Sasa keshakuwa kibibi ndio kaangukia kwa muheshimiwa
Kwa kifupi huyu Ni mdangaji km wandangaji wengine wa mjini tu
Mwanamke ana mdomo yule....kah.....yaani nikimsikiaga tu nasikia kinyaa.
 
Mwacheni aolewe jamani! Kuna wanawake wana 30-40------hawajawahi olewa hata ile barua yakipiga hodi kwa wazazi hawajawahi ipata, mwenzenu kaweka CV zakutosha ndani na vyeti kibao vya ndoa, siri ya utamu wa asali wanaijua walaji, wanaume acheni kuumia kwa ndoa ya mwezenu!
 
Huyu alikuwa akijiitaga dida wamchops baadae akawa anajiita dida wa ezden hao wote walikuwa waume zake na wengine wawili nimesahau majina yao inshot keshaolewa Mara kibao tu

Sasa keshakuwa kibibi ndio kaangukia kwa muheshimiwa
Kwa kifupi huyu Ni mdangaji km wandangaji wengine wa mjini tu
Kuna video yake chafu akiwa naked ipo kuleee kwenye website ya
HIGH
LOW
 
Back
Top Bottom