Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Wana JF naomba ufafanuzi kidogo,
Ni kigezo gani hutumika kujua kwamba huyu awe namba moja na huyu awe wa 102.
ni CV zao au huwa wanafanyiwa usaili?

Nadhani vema kufahamu criteria inayotumika kumweka mtu wa kwanza,,pili,tatu..., ni alphabet ya jina, kura jimboni kwake,usaili flani unaofanywa na chama au vp
 
Kila chama kina taratibu zake, kama alikuwa after RED LINE hakuna tatizo, nyie watu wa pwani mnataka mcheze mduara then mpate ubunge kirahisi

Hivi Rejao ni Mtu wa Pwani! Kumbe ndiyo maana kila kwenye Ngoma hususani Bagamoyo namkuta!

 
Jk alipomtumia Ridhwan na mama Salma mbona maneno matamu kama haya sikuyasikia?

Tofauti ni kwamba wawili hao walikuwa wanafanya kazi kwa maslahi ya familia na sio nchi. Na hili limeleta shida sio tu kwa wananchi wa kawaida bali hata ndani ya chama (ccm). Makongoro Nyerere ni mwenyekiti wa ccm-mkoa wa Mara mbona watu hawalalamiki? Watanzania sio wajinga, wanajua pale watu wanapofanya kazi kwa maslahi ya wachache ni pale wanapofanya kwa maslahi ya nchi.
 
kama ni kweli chadema wamekosea,tugawane nafasi kwa wote,bora wangemchukua kutoka kanda nyingine,,naomba isiwe kweli
 
Pigia jibu msitari.
Nimeshaamini Tayari!
Na wewe nawe hamna kitu! kichwani kama avatar yako yenye nywele za kisogoni.
Mambo ya Avatar hapa yametoka wapi? Ongelea huyo Mbunge not me!!
sheria za uchaguzi na uteuzi wa wabunge wa viti maalum unazifahamu? waombe wajf hapa watakupa nadhani utaridhika. Kwa kifupi tume ya uchaguzi ndiyo inapendekeza jina , linapelekwa ktk chama husika kupewa baraka.
Duh! tume ya uchaguzi ipendekeze jina??? Chana ndio kitoe baraka? Hii mpya...ndio naisikia kwako!!!
Kama ni kweli Hongera zake!
Wewe ulitaka atoke wapi kama siyo kusini, mashariki, kaskazini, kati au magharibi? labda mbinguni.
Tunaamini CDM siyo wazembe kihivyo lazima wana vigezo na ni kwa kutumia hivyo wamempata.
Huku twendako uteuzi utabidi uwe unapelekwa kwa jopo la malaika for vetting kwani kila mtu anatoka mahali na ni ndugu wa mtu.
Songa mbele mteule
Usijali mkuu....Slaa is like GOD...he is always perfect in his decisions!
Utaratibu si upo wazi sasa majungu ya nini?? Crap Crap Crap....
Utaratibu wa Kuangalia watu wa Kaskazini tu? Taratibu siyo msaafu au biblia, huwa zinabadilishwa. kwanini atoke Karatu? Karatu tayari kuna mwakilishi...kwanini wasitafute mwakilishi kutoka sehemu nyingine ya Tanzania
Azimio la Arusha- Kaskazini
Headquarter of EAC -Kaskazini
UN ICTR- Kaskazini
TANAPA HQ - Kaskazini
NA UKOMBOZI WA TANZANIA UTAANZIA KASKAZINI
Ndio maana hatakaa atokee rais kutoka Kaskazini - Nyerere aliona mbali!!
Join date ni Jana (23/01/2012)

Total Post 31!

Hivi wewe una tofauti gani na Rejao na Rtz?
Umekosa cha kuandika??
Mkuu hii mpya, mgombea urais wetu anaonekana sio mvivu wa kufungua zip
Hii sifa aliyopewa mgomea Urais wa CDM nimeipenda:lol::lol::lol:
 
Kama vile ccm ilivyokuwa ni ya kusini!
Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!
Hivi Rejao ni Mtu wa Pwani! Kumbe ndiyo maana kila kwenye Ngoma hususani Bagamoyo namkuta!
Umenikuta wapi wewe kilaza? Una uwezo wa kwenda bagamoyo? Wacheza na Bagamoyo eeh!
 
Kama kawaida tena tumezidi kujionea Chadema ni chama cha Kaskazini..

Tukimfutilia sana huyu Cecilia Pareso, unaweza kukuta ni mjomba wake Slaa.
 
Kazi kwelikweli! Hivi ubunge unahitaji CV hapa Tanzania?CV hivi sasa ni hela!mmesahau kule kwa Wakurya (Rorya) yule jamaa aliyekuwa akifanya kampeni yake eti yeye darasa la saba anaajiri hao waliosoma! Kibwagizo chake wakati wa kampeni darasa saba mpo!
Jamani ubunge haurithishwi kikanda au kimkoa nafikiri kwa hili la CDM ni luck kwa aliyepata kwa sababu chadema walifanya ranking ya majina wakati wanayapeleka TUME! Ingawa nepoticism ilikuwepo wakati wa mwanzo kwa hili la sasa hapana. Je angechukuliwa yule wa mwisho wengine wangesema pia.Maana humu JF ni mahali pekee watu wanatumia haki ya msingi ya kusema chochote! pia mngesema tu.
 
Endeleeni kuipandisha chati chadema
Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!

Umenikuta wapi wewe kilaza? Una uwezo wa kwenda bagamoyo? Wacheza na Bagamoyo eeh!
 
Wanazidi kutudhihirishia kuwa hiki chama ni cha watu wa KASKAZINI!!!

RAJAO? Kwa taarifa yako hiyo ni NEC iliamua hivyo Jina limetokana na wabunge wa viti maalumu waliokuwa wamependekezwa katika uchaguzi mpya. Kwa hiyo hilo swala la kusini na kaskazini achana nalo.
 
Hivi huwezi kujiheshimu even for once uache kuongea upuuzi? sidhani kama we ni mtoto asiye fuatilia habari, list ya wabunge wote wa viti maalum ipo Tume ya Uchaguzi (kama sikosei), hivyo basi ikitokea mbunge wa viti maalum kajiuzulu au kafariki basi the next person in line ana take over unless ndo mwisho wa majina ndipo chama huteua, hivyo basi kwa ishu wa mbunge huyo mpya jina lake tayari lilikuwepo tume ya uchaguzi. SOMETIMES SILENCE CAN HELP SHIELD YOUR IGNORANCE, so ishu ya ukabila, ukanda na kadhalika viache for the betterment of our country.
 
Hivi huwezi kujiheshimu even for once uache kuongea upuuzi? sidhani kama we ni mtoto asiye fuatilia habari, list ya wabunge wote wa viti maalum ipo Tume ya Uchaguzi (kama sikosei), hivyo basi ikitokea mbunge wa viti maalum kajiuzulu au kafariki basi the next person in line ana take over unless ndo mwisho wa majina ndipo chama huteua, hivyo basi kwa ishu wa mbunge huyo mpya jina lake tayari lilikuwepo tume ya uchaguzi. SOMETIMES SILENCE CAN HELP SHIELD YOUR IGNORANCE, so ishu ya ukabila, ukanda na kadhalika viache for the betterment of our country.

wewe ndio haueliwi hakuna anayebisha kwamba jina la Cecilia lilishakwenda Tume sisi tunajadili Cv yake ambayo haijaandikwa mahali popote kutoka kwa watu wanaomfahamu
 
Watu wengi ,wanapenda kubwabwaja bila kuwa na info za kutosha.
Mnaambiwa mchakato uliofanyika last year ndo huohuo,wanafuata mfululizo wa majina. Waliishia 25th na 26th aliasi chama na anayefuata atapewa nafasi. Sasa mnaleta maneno mengi kama kasuku tu... boring.
 
Back
Top Bottom