Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

vyeo vya marafiki na undugu kumbe hata chadema viko maana tunaambiwa na kuaminishwa kuwa ni Jk tu ndiye anachagua watu wake wa karibu

Wanasiasa wetu wengi (bila kujali chama) ni WAHANJAJI...NIKIPATA UONGOZI NIMEFUNGUA MKONDO WA ULAJI....

Kama wapiga kura, moja ya kazi muhimu kuliko zote wakati wa uchaguzi ni kuweza kufanya maamuzi sahihi ya nani mnayemchagua aisye KIJAZA TUMBO bali kiongozi to be....
 
Yule mwanamke alikuwa Mwenyekiti wa umoja wa wanawake Chadema aliyeikimbia Chadema na kwenda NCCR kwa kukosa ubunge wa kuteuliwa angekuwa na subira leo angeingia mjengoni Dodoma maana nasikia ni jina lililokuwa linafuata katika orodha, mambo mengine papara unakuja jutia baadaye.
Hivi haiwezekani kama akisema anarudi na then aanze kudai nafasi yake?
 
Azimio la Arusha- Kaskazini
Headquarter of EAC -Kaskazini
UN ICTR- Kaskazini
TANAPA HQ - Kaskazini
NA UKOMBOZI WA TANZANIA UTAANZIA KASKAZINI
Hadi sasa Arusha imetoa ma-waziri wakuu 3
 
Tatizo kwa baadhi yetu ni kurukia thread na kutaka kuchangia hata bila kufuatilia mlolongo wake. Maelezo mengi yameshatolewa juu ya utaratibu jinsi nafasi hizo zinavyopatikana lakini bado tunaendelea kuhoji!
 
Back
Top Bottom