Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Mrithi wa REGIA ni Cecilia Paresso

Hayo ni wewe umesema....CCM imegusa kila kona...niambie ni mkoa gani au wilaya gani ambapo CCM haina mwakilishi!!!

Mkuu Rejao,
Nitajie japo Mwakilishi / Mbunge wenu wa kuchaguliwa angalau Mmoja anaetoka PEMBA!
 
RAJAO? Kwa taarifa yako hiyo ni NEC iliamua hivyo Jina limetokana na wabunge wa viti maalumu waliokuwa wamependekezwa katika uchaguzi mpya. Kwa hiyo hilo swala la kusini na kaskazini achana nalo.

Jina la Cecilia halikujipeleka Tume bali lilipelekekwa na Chadema mwaka 2010 wakati wa uchaguzi Mkuu lakini ukweli unabaki palepale kwamba jina lilitokea chadema. kuna kikao cha chadema kilikaa kupendekeza jina hilo na ndipo likapelekwa Tume kusema chadema haihusiki ni uongo.
 
Wizara zote muhimu katika nchi wamepewa waislam! je unalizungumziaje hili?

Alafu hili lina ukweli ndani yake!

Fedha - Mkulo,
Mambo ya Ndani - Shamsi,
Afya - Hadji,
Ulinzi - Hussein,
Elimu - Shukuru,
etc..


 
kwani alokufa nae alikuwa wa kaskazini?
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.
 
Kweli nishaamini hiki chama cha Chadema kinawanyima watu wengi usingizi! Hata JK jana pale makaburi ya familia wakati wa kumzika Sumari alionekana anawasiwasi wala sio majonzi, ndio maana hata alikua alale pale Ngurdoto Mountain Lodge lakini ilishindikana kwakua kila alikokua anageuka anakutana na alama ya 😛eace:
 
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.

Hivi unajua hata wewe hutendewi haki ndani ya CCM. Kazi unayofanya ni kubwa mno. Ilipaswa angalau na wewe wakupe Kiti Maalum Bungeni!
 
Hapa ndipo CDM walipokosea....ingebidi mrithi wake atoke angalau Morogoro. Hawajawatendea kabisa haki wale vijana wote waliotumia nguvu zao siku ya msiba wa Regia kule Ifakara.
Jibu swali,alokufa nae alitoka kaskazini?
 
Wasifu wake mojwapo ni ukaribu wake usio wa kawaida kati yake na aliyekuwa mgombea urais aliyeshindwa na kusema kura zake zimechakachuliwa


jamani tuwe tunatumia angalau akili kidogo.mfumo wa kuteua wabunge viti maalumu hutegemea kura ambazo mgombea amepata wakati wa kinyanganyiro cha uraisi.ni wajibu wa vyama vya upinzani na vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi kusabmit majina ya wagombea viti maalum kwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi,hivyo basi kutokana na wingi wa kura chama kimepata kwenye uchaguzi mkuu ndo hivyo chama kitapata wabunge,kama chama kimepata viti kumi ,tume ya taifa ya uchaguzi itahesabu waliochaguliwa na hicho chama hadi number kumi ndo wapige mstari baada ya hapo hao ndo watakuwa wabunge wa viti maalum na ikitokea mmoja akafa katika wale kumi atachukuliwa number kumi na moja hivyo hivyo na sio maswala ya upendeleo.nakubali kukoselewa kama sivyo
 
Chadema Morogoro wamebaki wakiwa sana yaani mkoa wote wamekosa mrithi wa Regia Mtema, mpaka atoke kwa kina Slaa?

Kuna sehemu nyingi tu hakuna wabunge wa Chadema wamekosa nafasi hiyo.

Tayari Karatu kuna mbunge wa Chadema, Mchungaji Israel Natse, anatosha wanakwenda kuwaongezea mbunge mwingine.

Wameshindwa kuwafariji watu wa Morogoro Chadema bana.
 
Hongera zaka hope atakuwa pia mrithi wa mawazo yake ya kujenga nchi hii,,, mm sioni shida kama ni utaratibu wa kumchukua aliyefuata kwa kura basi haijalishi anatoka wapi
 
Hivi mbona watu wanaasira sana kuhusiana na kuteuliwa kwa mbunge ambaye hata hizi taarifa sio rasmi?
 
Chama ndicho kitakachoamua wacheni kuwarusha watu roho bwana!
 
Tatizo la kufikiri kwa kutumia masaburi. Hivi toilet paper zilikuwa hazipatikani? au hata maji!:lol:

Hapa tukubaliane kwanza viti maalumu wanapatikanaje kama ni ishu ya nani anafuata kwa wingi wa kura basi tuslalamike.kwa vile katoka kwa katibu basi inashikiliwa kuwa ni ishu kubwaaa,,,mbona kama ingekuwa ivo basi hata regia asingepata angechukuliwa yy
 
Back
Top Bottom