Game Theory
Platinum Member
- Sep 5, 2006
- 8,545
- 835
Sham on you
Huo ndio tunaita umbea we profile yako mbona hauweki unatafuta za watu...watanzania ndio maana hata huwa hatuendelei kufuatilia mnaisha ya watu
now you are talkingMiji2 mingne bhana. Akiponda mmoja mingne yafata km nyumbu mto mara. Kwani kujua profile ya mpoto dhambi? Mbona kawaida sana kwa staa km huyo?
<br />Miji2 mingne bhana. Akiponda mmoja mingne yafata km nyumbu mto mara. Kwani kujua profile ya mpoto dhambi? Mbona kawaida sana kwa staa km huyo?
sure kaka hapo safiHuhitaji zaidi ya maelezo kumjua mpoto,mshairi,mwanamuziki,mwanaharakati na tuna kila sababu ya kujivunia