Mrembo wetu

Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton)
 
Nadhani unamaanisha kitu kingine na miss kibaha, kama ukiangalia vizuri kule nyuma kuna kitu kama miss uganda, 20.., sasa kibaha ya uganda au ya tanzania?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom