Mrembo wetu

Mrembo wetu

dah!! aisee kiukweli na mimi sijakapitisha kabisa kama kamsumari vile!!!
 
mrembo wa kibaha? mimi nimeone kijiti tu. Teh teh teh!
 
Hivi wanaume wanaovutiwa na wanawake kama hawa ni nin kna wavutia? Mana hapo ni mifupa mitupu!(skeleton)
 
mmhhhh, ukikakaanga hupati mafuta hatackijiko kimoja. Kamrkakamaaaa kwelikweli.
 
hivi ndo binti yangu nimruhusu akafanye hivyo, labda anitoroke duuuu.
 
Huu ndo ugonjwa wangu, mwenye namba yake ani PM,
 
Tabu ya hawa ma miss vijana wa mjini waliojaa ukimwi wana waharibu sana
 
Nadhani unamaanisha kitu kingine na miss kibaha, kama ukiangalia vizuri kule nyuma kuna kitu kama miss uganda, 20.., sasa kibaha ya uganda au ya tanzania?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom