Mrembo Jack Patrick atoka na viwalo vya 8m

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php
 

Attachments

  • Jackline Patrick.jpg
    Jackline Patrick.jpg
    128.7 KB · Views: 7,196
tehetehe mtoto wa kike anajinadi, halafu watu wakiwatumia vibaya mnalalamika. so hiyo price yeye ndo kaona kitu cha maana sana
 
Dem kawa mjanja siku hizi miaka kadhaa iliyopita alikuwa mshamba mshamba pale njombe maeneo ya matalawe ila ni kitu fulani .5 cha ukweli! baba yake nasikia ni mwingereza aliyekuja na kampuni ya Balfour Beaty kujenga barabara ya makambako-songea, alimpa mimba m'bongo halafu akasepa kwa hiyo hawajuani na baba yake.
 
Nina uhakika hiyo shopping ingeweza kufanyika na milioni saba laki tisa na elfu hamsini ikabaki...!!!
Na still appearance ikawa hiyo hiyo na hakuna mtu angeona tofauti
 
hivi huyu jamani kama navaa viwalo vya 8m kwa mujibu wa yeye mwenyewe je kumtokea unahitaji uwe na ngawira kiasi gani? Hapo hajaongelea uwekezaji kwenye makalio, chuchu, na hata nani hii....
attachment.php

na nyumba yake anayoishi amenunua/kujenga kwa milioni ngapi? Gari lake alililonunua ni milioni ngapi??

 
Back
Top Bottom