The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,401
- 3,641
Mwenyekiti mpya wa bodi ya parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Taifa amesema kwa kua chama chake kina sera nyingi zinazofanana na CCM ikiwamo kupenda amani na maendeleo tofauti na vyama vingne vya upinzani ambavyo vimekua vikihimiza fujo na kupinga maendeleo na kumpinga ndugu rais aliechaguliwa na wananchi kihalali.