swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
Anataka kujiunga na buku 7 lumumba maana yeye kwisha.Kujipendekeza na unafki wa kiwango cha juu mno.
swissme
Anataka kujiunga na buku 7 lumumba maana yeye kwisha.Kujipendekeza na unafki wa kiwango cha juu mno.
Hivi TLp does it exist? Ina wanachama kweli? Wa aina gani? mikoa ipi? It is a mistake, a grave one kumpa mtu kama Mrema kuongoza taasisi aliyopewa! Yule ni senile imbecile!Mwenyekiti mpya wa bodi ya parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Taifa amesema kwa kua chama chake kina sera nyingi zinazofanana na CCM ikiwamo kupenda amani na maendeleo tofauti na vyama vingne vya upinzani ambavyo vimekua vikihimiza fujo na kupinga maendeleo na kumpinga ndugu rais aliechaguliwa na wananchi kihalali.
Tayari ameshapewa ulaji wa kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole.Anataka kujiunga na buku 7 lumumba maana yeye kwisha.
swissme
kawafanya wananchi wa VUNJO masikini.VUNJO wamshukuru Mh.Mbatia kwa kuwajari.Tayari ameshapewa ulaji wa kuwa mwenyekiti wa bodi ya parole.
Mdomo wake umeshashonwa kwa nyuzi ya koti,hawezi tena kuongea.
Na akijitaidi kuongea ataakikisha anaongea kinachomfurahisha bwana ake aliyempa ulaji.
Aibu hata kuwa mwanachama wa chama chake.
In DARASA VOICEHii sasa too much
Ndiyo wakaamua wampige chini kwa unafiki wake na kujipendekeza.kawafanya wananchi wa VUNJO masikini.VUNJO wamshukuru Mh.Mbatia kwa kuwajari.
swissme
Huyu babu ananikera sana... sometimes unaweza kuhisi labda kuna baadhi ya nati kichwani zimelegea!Angeluwa upinzani UVCCM wangempiga glasi au vibao hili wapate cheo bahati yake yukonao huko lumumba.
swissme
Hahaha hahaha hahaha dah umenichekesha sana mkuuAngeluwa upinzani UVCCM wangempiga glasi au vibao hili wapate cheo bahati yake yukonao huko lumumba.
swissme
Kwani kina wanachama?duuuu, njaa mbaya sana aisee, sijui wanachama wa chama chake wanajisikiaje
W
Ww na yeye mwenye njaa nani?
Hakina wanachama...yeye mwenyewe si mwanachamaduuuu, njaa mbaya sana aisee, sijui wanachama wa chama chake wanajisikiaje
Mrema/TLP ni mke wa CCMKama kichwa cha habari kinavyoelezea una maoni gani kuhusu mzee MREMA kutamka kuwa CCM iungane na TLP waunde umoja wao kama wa UKAWA