nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
haa haa mzee wa Kiraracha...
Mwenyekiti mpya wa bodi ya parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Taifa amesema kwa kua chama chake kina sera nyingi zinazofanana na CCM ikiwamo kupenda amani na maendeleo tofauti na vyama vingne vya upinzani ambavyo vimekua vikihimiza fujo na kupinga maendeleo na kumpinga ndugu rais aliechaguliwa na wananchi kihalali.
Njaa ni balaa hapa Tz, muulize hata yule kamanda wa anga alivyouza chama kweupeee sababu ya njaa!
Njaa kali. Alikri mwenyewe kwenye mkutano mkuu wa CCM kuwa alikuwa kijiweni tangu 1995. Kwa upande mwingine Mrema, Cheyo na wengine kama wao wajiulize: lengo la vyama vyao ni lipi? Ni kusindikiza CCM ili wapewe fadhila au ni kutwaa dola? Kama ni kusindikiz CCM ni sawa kwa hiki wanachofanya, lakini kama ni kutwaa dola ni bora wafikirie upya style zao.Mwenyekiti mpya wa bodi ya parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Taifa amesema kwa kua chama chake kina sera nyingi zinazofanana na CCM ikiwamo kupenda amani na maendeleo tofauti na vyama vingne vya upinzani ambavyo vimekua vikihimiza fujo na kupinga maendeleo na kumpinga ndugu rais aliechaguliwa na wananchi kihalali.
Hahahaa ahaaa umenifanya nicheke pekee yang tena kwa nguvuHivi kule TLP hakuna watu? Wanashindwa nini kumtandika bakora huyu mzee?!