Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,657
- 8,590
ha haMrema ni mwanasihasa hasa.
ha haMrema ni mwanasihasa hasa.
duuh!Mrema/TLP ni mke wa CCM
Yeye ndio ana njaaa tena ya kuzidi hadi anakuwa mnafiki angerudi ccm tu sio kulopoka anapo lopoka hovyo hovyoW
Ww na yeye mwenye njaa nani?
Tena ile iliyotengenezwa kwa materials zilizo expireana kichaa cha mbege huyu.
dah kweli tena wanamfizia akiingia tu ofisini,wanarudisha mlango wanampa za maanaHivi kule TLP hakuna watu? Wanashindwa nini kumtandika bakora huyu mzee?!
Mwenyekiti mpya wa bodi ya parole ambae pia ni mwenyekiti wa TLP Taifa amesema kwa kua chama chake kina sera nyingi zinazofanana na CCM ikiwamo kupenda amani na maendeleo tofauti na vyama vingne vya upinzani ambavyo vimekua vikihimiza fujo na kupinga maendeleo na kumpinga ndugu rais aliechaguliwa na wananchi kihalali.
Njaa ni balaa hapa Tz, muulize hata yule kamanda wa anga alivyouza chama kweupeee sababu ya njaa!duuuu, njaa mbaya sana aisee, sijui wanachama wa chama chake wanajisikiaje