Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Kwahiyo ndo umeamua kabisa kuwaolea wahuni wa hyo wilaya anayoenda kufanya kazi. Au kakudanganya ukimuoa hataliwa kimasihara?
Ngoja wakampakue.
 
Habari zenu ndugu, majirani zetu na marafiki tusiofahamiana nje ya jf km tunapatikana humu, isipokuwa wachache wanaofahamiana jf na nje ya jf.
Poleni na mihangaiko ya kutwa nzima na wale ambao ndio kumekucha mungu abariki harakati zenu usiku wa leo.

Mrejesho kuhusu thread niliyoleta humu kuhusu mwenzangu kupata teuzi kada ya afya wiki hii aliripoti halimashauri ya wilaya husika alikopangiwa, baada ya kumaliza zoezi lake la uhakiki wa vyeti ametakiwa kuripoti kazini tarehe mbili ya mwezi wa 7.
Baada ya kukamilisha zoezi hili ameniomba arudi tukamilishe swala la ndoa ili atakaporipoti kazini awe rasmi ni mke wa mtu.
Sitaki nishauriwe nimeshahiyari kuoa ila km yupo wa kunirahisishia connection huyu kiumbe akapata uhamisho kuhamia mjini ntashukuru
Good
 
Kwahiyo ndo umeamua kabisa kuwaolea wahuni wa hyo wilaya anayoenda kufanya kazi. Au kakudanganya ukimuoa hataliwa kimasihara?
Ngoja wakampakue.
Dah wadau mnakatisha tamaa kutomb#wa hii ni tabia tu ya mtu na ndio mana tunashuhudia haya hta kwa watu wanaoishi na wake zao pamoja
 
Itakuwa alipita na mada yako humu, akapima uelekeo wa upepo, akaamua afanye maamuzi ambayo hatma yake anaijua yeye pekee na si wewe...

Hongera kwa uamuzi wako, kila la kheri kwako...
 
Itakuwa alipita na mada yako humu, akapima uelekeo wa upepo, akaamua afanye maamuzi ambayo hatma yake anaijua yeye pekee na si wewe...

Hongera kwa uamuzi wako, kila la kheri kwako...
Shukrani mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom