Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Kila la kheri Mkuu, ndoa ni kitu chema.

Ndiyo maana Adam alipewa Msaidizi wake ambaye ni Eve.

Ila muhimu utenge nafasi muwe mnatembeleana.

Waswahili husema "Fimbo ya Mbali haiui Nyoka"
Shukran mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom