Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Hongera kwa kufanya maamuzi sahihi kwako,nikutie tu moyo kwamba watu wasikutishe kwamba hakuna ndoa ya mbali hiyo Ni tabia ya mtu binafsi ingekuwa hivyo Basi wale waliooana na wanaishi pamoja wangekuwa hawachepuki mbona ndio wanaoongoza kuleta visanga humu?vumilia Ni changamoto za muda tu mambo yatakaa sawa
 
Uko sahihi mkuu na nimekuelewa
 
Upo sahihi! Tena ndoa ya mbali ni tamu na inanoga sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom