Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

Mrejesho: Wiki ijayo naoa In Shaa Allah

bora ufanye penz binafsi
'sheria mkononi, amani moyoni'
imageedit_2_9126229852.jpg
 
Mwaka juzi jamaa yangu mke alipangiwa kazi madibila, mwanzomwanzo walikua wanawasiliana vizuri, miezi mitatu mbele mambo yakabadilika kumbe msukuma alimpa gunia 150 za mpunga, na kumjengea nyumba jamaa ndoa ikaishia hapo hadi leo yupoyupo tu
 
Msimkatishe tamaa ndoayake sio ya huyo jamaa na Hawa ni watu tofaut tuishi kilamtu anafungu lake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom