mkuu Junior 2
JF-Expert Member
- Nov 4, 2017
- 282
- 201
Nasubiri jibu hapa..Vipi harufu?
Katakata nyanya tu uchanganye na dawa haraka sana utakuta wameshakulamkuu iyo dawa kiboko
panya wamezidi nshawanunulia dagaa hapa nasubiri muda niwawekee inawamaliza balaa
Hama kwanza nyumba kwa muda. Maana kwa harufu ya mizoga, sijui kama patakalika.mkuu iyo dawa kiboko
panya wamezidi nshawanunulia dagaa hapa nasubiri muda niwawekee inawamaliza balaa
Mimi nilienda pharmacy nikanunua capsules za buku nikafungua moja moja nikachanganya na unga wa kisosi nikaweka jikoni wakafakamia wakafa vibaya sanaDOZI YAKE INAKUWAJE?
Ukiweka hakikisha vyombo vyote vyenye maji unafunika, ukiamka kagua kila sehemu wakila hawafiki mbali sanaHama kwanza nyumba kwa muda. Maana kwa harufu ya mizoga, sijui kama patakalika.
Sijui hao mijusi hasa wale wa wanaopenda kukaa ndani makosa yao siyaoni, ni wapole hawana mashara kwa binaadamu, hawachafui nyumba na wanaua buibui na wadudu wasumbufu isipokuwa MFALME WA WADUDU WASUMBUFU NA WENYE ROHO NGUMU NDUGU KUNGUNI (LANA TULAH)Mimi natafuta dawa ya mijusi ndani, siwapendi kama nini?