kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.
Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.
Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.