Mrejesho wa Albadiri

Kabisa mkuu,yaani kwa sasa kiongozi yoyote wa kitaifa akipatwa na jambo baya tu waliosoma albadir watalihusisha na kisomo hicho hata kama siyo.
 
MNA hamu na matokeo sana aisee du. Mtasubiri sana nothing will happen.
Nami naona ni bora imesomwa kwa sababu itaishia kuwasafisha wale ambao wanatajwatajwa kuhusika pale tutakapoona bado wanaendelea kudunda,ila sasab isije ikawageukia hao wanaotajataja wenzao bila kuwa na uhakikaka.
 
Ilishasomwa na tayar huku kwetu kijiji cha mtakuja na mtaa Wa ujamaa watu tayara
 
Nami naona ni bora imesomwa kwa sababu itaishia kuwasafisha wale ambao wanatajwatajwa kuhusika pale tutakapoona bado wanaendelea kudunda,ila sasab isije ikawageukia hao wanaotajataja wenzao bila kuwa na uhakikaka.
Jana tu Diwani kafariki Mbeya mjini Mh Ester wa Chadema
 
kama kweli albadiri iko na inafanya kazi basi wamsomee Lipumba au Jecha mbona wanasumbua hivi?....mimi nitaamini hii kitu wakianzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…