OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Ivi bank statement wanaangalia kwenye akaunti kuna kiasi gani? Au ni document tu wanaisoma.
Kama anapenda rangi nyeupe tu anaweza kuoa watu wa Asia (wahindi, wachina, waarabu) kidogo culture zinaendana na AfrikaSie ndo tuna mioyo na nyama ngumu kuvumilia hawa wanaume zetu ila jamii nyingine haziwezi mwishowe wanapeleka ile ego yao na mambo kuwa magumu kinoma, hata maisha kuharibika vibaya
Siku hizi wamesanuka wengi wanarudi kuoa kwao,
Wanawake tuna mioyo nakuvumilia kwa hali ya juu, ila wao umpigie tu simu upo wapi sahizi anakuja juu na kuona unamtawala kumbe nikwa usalama wake na na mke kuwa na amani aliko mme, sasa wazungu?Sie ndo tuna mioyo na nyama ngumu kuvumilia hawa wanaume zetu ila jamii nyingine haziwezi mwishowe wanapeleka ile ego yao na mambo kuwa magumu kinoma, hata maisha kuharibika vibaya
Siku hizi wamesanuka wengi wanarudi kuoa kwao,
Ndo namsaidia ndg yetu hapa hatujui vizuri we muache atambe labda asirudi,Uchawi mwingi sana, kuna Mama mmoja alikuja kwa mbwembwe salimia ndugu siku yakuondoka katenguka kiuno safari nikaishia hapo alikaaa kitandani miaka 2
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu. Cha muhimu ni kutimiza malengo na kutokata tamaa.. wenzetu nchi kama ghana. Nigeria. Zimbabwe angola etc. Wanazimbia nchi zao kama nyuki.. tatzo africa magumash meng.. mipango ta kinchi hakuna so wasom wanamaliza wanakua kama mabwege tuHizo ni dreams za kila Mtu kwenda kuishi mamtoni
So binafsi mwaka 2024 panapo uzima naenda Paris
Mbona wapo waafrika weupe peee,hao watu hawawataki ila basi mnalazimisha,Kama anapenda rangi nyeupe tu anaweza kuoa watu wa Asia (wahindi, wachina, waarabu) kidogo culture zinaendana na Afrika
Mademu wa kibongo hawafai msimshauri Matatizo watu wengi wamebury dreams , kisa wanawake wakibongoNdo namsaidia ndg yetu hapa hatujui vizuri we muache atambe labda asirudi,
Mbona umeifunga inboxUzi huu ulinipa chachu ya kuja Europe. Mwaka jana mwezi wa tisa niliingia rasmi Europe. Nimeshatimiza mwaka na ushee sasa.
Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa ...... bongo kiukwel. Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote. Biashara zangu pia ziliyumba, sikuona mwanga ila pia nilikuwa mdau wa uzi wa kujilipua nje ule kitambo sana. So nikaamua niufanyie kazi.
Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse ya zaman naona imepigwa ban ya maisha. Ila fresh tu, muhimu pumzi
Cha msingi nachoweza sema, njia ya shule kama una documents zote muhimu basi ni njia nzuri sana maana visa unapewa fasta sana, na msing ni kwamba documents zako ziendane tu.
Kwa Ulaya haina shida unapewa fasta, kwa US na Canada na Australia inabidi uwa convince vizuri ili wasione kama utaenda zamia; ila kwa Ulaya wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndiyo kabisaa.
Hakikisha proof yako ya fanancial ipo vizuri, kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements basi fanya hivyo etc. Maana hii ndiyo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama wataona ni nchecheme nchecheme. Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaani.
All in all, life huku ni zuri mnoo, hakuna uonevu wa kijinga, ubabaishaj na maudhi, husikii watu wameiba mapesaa serikalini wala husikii kelele za ki chawa.
Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza, ni kuzuri mno. Nmezaliwa Dar nmekulia Dar, naweza sema Tandale ya huku kwa huko hata Masaki haioni ndani, sorry ni kuzuri kweli.
Mimi nasoma, napiga kazi za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hizi, maana watu wa huku wanathamini sana art.
Uzi tayari.
Kabisa mkuu. Cha muhimu ni kutimiza malengo na kutokata tamaa.. wenzetu nchi kama ghana. Nigeria. Zimbabwe angola etc. Wanazimbia nchi zao kama nyuki.. tatzo africa magumash meng.. mipango ta kinchi hakuna so wasom wanamaliza wanakua kama mabwege tu
Kaka eeh utajuaje huenda najipigia debe,, sasa wewe kwenye hili utakuwa upande gani? Akuoe wewe basi,, watu wengine bhana mna viherehere kinomaMademu wa kibongo hawafai msimshauri Matatizo watu wengi wamebury dreams , kisa wanawake wakibongo
Wanaroga
Tamaa za Mali
Ombaomba nk. So hawafai
Bank statement inaonyesha inflows na outflows zako za pesa na kias kilichopo.. inagemea na nchi na nchi . Kuna nchi zingne pesa ndogo tu na kuna zingne hela kubwa kidogo...Ila hyo sio ishu. Mbona mjin bongo hapo kuna watu naskia wanazisuka hzo vzur tu kama huna mtu.. mi sifahamu ila naskia wapo . Ila nzur ni kutafta mtu mwenye mpunga unamuomba akusaidie kwenye hilo utumie ststement yake. Simpo tuIvi bank statement wanaangalia kwenye akaunti kuna kiasi gani? Au ni document tu wanaisoma.
Ha ha ha haNdo namsaidia ndg yetu hapa hatujui vizuri we muache atambe labda asirudi,
Nikwel kaka .Kama nchi bado idadi ya watanzania wanaofanya kazi nje ni ndogo sana. Idadi inapswa kuongezeka maradufu ili isaide uchumi haswa kwa kuleta fedha za kigeni.
Majirani zetu wakenya wanapata dola bilioni 4 kwa mwaka karibia triolini 10 kutoka kwa wakenya wabaofanya kazi nje ya nchi. Vivo hivyo ethiopia wanaingia pesa nyingi za kigeni.
Moja wapo ya mtaji mkubwa wa tanzania ni kuwa na vijana wengi wenye nguvu ambao wangeweza kufanya kazi nje na kutuma fedha za kigeni na kukuza uchumi.
Kwahiyo mtanzania yeyote akipata fursa nje akimbilie na walioko huko wawajulishe waliopo nyumbani (wasio na ajira au biashara za uhakika) fursa zilizopo nje ili wajiongeze. Majirani wanasaidianaa sana na kuonyeshana fursa.
Dhana ya alioko nje au nchini ni mjanja haisaiidii kinachopaswa ni kuonyeshana fursa nje ili tupige hatua kama taifa. Nguvu kazi inayopotea hapa kukaa kuangali movie vibandani ingeweza kufanya kazi kiwandani Ujerumani au supermarket Ireland.
Kuna umuhimu sana wa nchi kuliangalia hili kupeleka nguvu kazi nje.View attachment 2459912View attachment 2459913
Wanaume wetu tunawamudu sie tu watukatae lakini ndo hivyo,, wanavyopenda ngono je!! Mzungu gani wa kuhimili hivyo vit..mb... vyao vya kutwa mara tatu na mengine mengiWanawake tuna mioyo nakuvumilia kwa hali ya juu, ila wao umpigie tu simu upo wapi sahizi anakuja juu na kuona unamtawala kumbe nikwa usalama wake na na mke kuwa na amani aliko mme, sasa wazungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣wee dada sijawshi kukuona ukichangia.ila ulinyoona uzi mtu yupo majuu umekuja kasi Sana nakuchoratu.unavyo ponda wazungu 🤣 eti sio wavumilivu wee mvumilivu umeolewa sasa?Kaka eeh utajuaje huenda najipigia debe,, sasa wewe kwenye hili utakuwa upande gani? Akuoe wewe basi,, watu wengine bhana mna viherehere kinoma