Ukiisoma hii comment kwa utulivu utagundua kabisa wewe tupo wote hapa hapa kwa Samia tukipambana na tozo na walamba Asali.Folen kaka... US na canada folen ni kubwa mnoooo... Processing inakua kazi sana ndomana unakuta znachelewa... Pia kupata apointment ni ishu sabab ya uwing wa watu wanaofanya application kila kukicha... Pia kumbuka kuna baadh ya nchi pia znatumia baloz zetu zilizoko hapa bongo so folen ndo inazid kuwa kubwa. Watu wa kongo.. nadhan burund pia etc.. wanatumia baloz zilizopo bongo kwenda huko majuu so ishu ni folen. Na pia hao jamaa US na canada huwa wanafatilia sana ndomana unakuta znachukua muda.
Ukiisoma hii comment kwa utulivu utagundua kabisa wewe tupo wote hapa hapa kwa Samia tukipambana na tozo na walamba Asali.
Eeeh sawa mama... Bado mnaamini kila mtu ni msanii humu. Basi kama huamini chkua mantiki ya uzi fanya kama mimi nipo bongo basi.. chukua point ya uziUkiisoma hii comment kwa utulivu utagundua kabisa wewe tupo wote hapa hapa kwa Samia tukipambana na tozo na walamba Asali.
*Zinatumia balozi zilizoko hapa bongoHahahah kwanini umesema hivo dada?
Hahaha.. duh. Hatari... Hata mimi mwenyewe nilikuwa sijaona.. ilaa cha muhimu chukua mantiki ya uzi. Niwe bongo nisiwepo bongo.. try to learn dada angu... Kama una ndoto za kuja huku niliko pambana inawezekana mbona.*zinatumia balozi zilizoko hapa bongo
*zinatumia balozi zilizoko bongo kwenda huko majuu
Ofcourse nitakuja bongo but only for my family. Baba. Mama.. na ndugu zangu. Kuwekeza pia ila kuish. No No.. i am done with bongo bro.Hongera,piga kazi ukipata fedha nyingi njoo bongo uwekeze..
Wakumbuke pia ndugu zako.
Sanaa gani zinalipa huko?
Wewe Ni msanii wa Nini?
Hiyo kitu inakatisha tamaa sana yaani unafanya juhudi ila unashangaa chawa wanapaa tu eti kisa wanaongea sana hivyo wanavyoengea venyewe ni pumba 90%..Komaa kaka... Hyo nchi uchawa unalipa.. sis wengne tulishindwa hilo ndomana tukasepa. Haiwezekan tokea darasaa la kwanza naongoza class tumefika had mavyuo vikuu halaf machawa ndio wanatukimbiza. Ukisifia tu unapewa shavu. Sie wengne hayo maisha tumeyashindwa. Hahaha... Tumewaachia wanaoyaweza wenye nchi yao
Hapa Unguja ni zaidi ya Ulaya. Pesa kama zoteUzi huu ulinipa chachu ya kuja Europe. Mwaka jana mwezi wa tisa niliingia rasmi Europe. Nimeshatimiza mwaka na ushee sasa.
Nimekuja kwa njia ya masomo na sina mpango wa ...... bongo kiukwel. Bongo nilikua na ajira ndio ila sikuona future yoyote. Biashara zangu pia ziliyumba, sikuona mwanga ila pia nilikuwa mdau wa uzi wa kujilipua nje ule kitambo sana. So nikaamua niufanyie kazi.
Hii ni ID yangu nyingne mpya ofcourse ya zaman naona imepigwa ban ya maisha. Ila fresh tu, muhimu pumzi
Cha msingi nachoweza sema, njia ya shule kama una documents zote muhimu basi ni njia nzuri sana maana visa unapewa fasta sana, na msing ni kwamba documents zako ziendane tu.
Kwa Ulaya haina shida unapewa fasta, kwa US na Canada na Australia inabidi uwa convince vizuri ili wasione kama utaenda zamia; ila kwa Ulaya wala hawaangalii sana. Tena kama unajilipia ada ndiyo kabisaa.
Hakikisha proof yako ya fanancial ipo vizuri, kama una ndugu wa kukusaidia onyesha bank statements basi fanya hivyo etc. Maana hii ndiyo kigezo namba 1 cha kupewa au kunyimwa visa. Kama wataona ni nchecheme nchecheme. Kwamba usije ukaenda ukawa omba omba bure mitaani.
All in all, life huku ni zuri mnoo, hakuna uonevu wa kijinga, ubabaishaj na maudhi, husikii watu wameiba mapesaa serikalini wala husikii kelele za ki chawa.
Huku kila kitu utashangaa siku za kwanza, ni kuzuri mno. Nmezaliwa Dar nmekulia Dar, naweza sema Tandale ya huku kwa huko hata Masaki haioni ndani, sorry ni kuzuri kweli.
Mimi nasoma, napiga kazi za kunipa kahela pia ni artist so naingiza pesa kupitia njia hizi, maana watu wa huku wanathamini sana art.
Uzi tayari.
Hahaaaa nimenote "huko majuu" ,Samia kasabanisha afya ya akili kuharibika , Tozo mama weeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣,jamaa linaotaUkiisoma hii comment kwa utulivu utagundua kabisa wewe tupo wote hapa hapa kwa Samia tukipambana na tozo na walamba Asali.
Watu wanaota huku wanatembea au ujue kuna mtu anatafutwa aelekezwe kibla, wahuni sio wazuriHahaaaa nimenote "huko majuu" ,Samia kasabanisha afya ya akili kuharibika , Tozo mama weeee,jamaa linaota

Una akili sana 🤣Ukiisoma hii comment kwa utulivu utagundua kabisa wewe tupo wote hapa hapa kwa Samia tukipambana na tozo na walamba Asali.