Mrejesho uzi wa kujilipua

Mrejesho uzi wa kujilipua

Nchi za kiafrika ngumu sana kutoboa halafu viongozi kama wakina Nape. Wanatumia laini za TTCL bure kupiga, kutuma meseji mpaka internet. Hawakumbuki hata bando la internet wamenunua lini. Hata ukimwambia anaishia kukutukana.

Hongera yake. Huwa natafakari sana kuhusu mtoto wa George Wear Rais wa Liberia inakuwaje mtoto wake ni raia wa USA?

Kama una njia ya kuingia ng'ambo bora usepe tu.
 
Hahaaaa nimenote "huko majuu" ,Samia kasabanisha afya ya akili kuharibika , Tozo mama weeee,jamaa linaota
Naomba mtumie hii video huyo dada mwenye roho mbaya
 
Roho hipi? unakimbia nyumbani.
ulaya ilikuwa zamani sio sasa na tuna watu wameshindwa rudi kwa aibu wakisikia tuna mijengo wao ndio kwanza wanapanga na umri unasogea
Hahahhaha.. hakuna asietamani kuja huku kaka... Hahahahaha... Wee pambana hapo ulipo kaka... Sio kila alie huku basi yuko vibaya..
 
Roho hipi? unakimbia nyumbani.
ulaya ilikuwa zamani sio sasa na tuna watu wameshindwa rudi kwa aibu wakisikia tuna mijengo wao ndio kwanza wanapanga na umri unasogea
Acha kumsema mwenzio hivyo tatizo wabongo huwa hatupeani moyo ni kuponda kila kitu, mbona hapa tu bongo mtu yupo Dar lakini kachapika na maisha ile mbaya lakini hawezi kurudi kwao huko mkoani nauli yenyewe mtihani wa math, lakini kushindwa kwa mtu mmoja hakuzuii wengine kwenda kujitafutia riziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mchizi kawasanua na video mmekimbia kama paka mwitu njooni na nyinyi mlete video zenu za buza kwa lulenge huwa mnajaribu kuwa makini member wa jamii forum huku mkisahau makosa ya kiuandishi yapo dunia nzima
Ni wajinga sana hao jamaa... Na ndo tatzo la wabongo. Wana wivu mbaya sana. Ndomana watu huamua kufanya mambo yao kimya kimya
 
Acha kumsema mwenzio hivyo tatizo wabongo huwa hatupeani moyo ni kuponda kila kitu, mbona hapa tu bongo mtu yupo Dar lakini kachapika na maisha ile mbaya lakini hawezi kurudi kwao huko mkoani nauli yenyewe mtihani wa math, lakini kushindwa kwa mtu mmoja hakuzuii wengine kwenda kujitafutia riziki.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nenda uje kutueleza naona umekasirika ila ukweli ndio huo.
ulaya ilikuwa zamani sio sasa.na wadogo zangu mpaka pesa ya matumizi inatoka bongo.
Tena wapo USA

USA sio kama ya zamani kwa mgeni America dream ni America waste time.pesa utakazopata zinaishia kwenye magalama ya kodi.

Pili waamiaji kutoka africa wamekuwa wengi mwisho wa siku unakuwa cheap kwenye kazi.

ulaya ni karata tatu 1-mavi 2-jokeri 3-kopa..utachagua
 
Kaka achana nae huyo... Bado wana mentality za kizee na kukarir maisha
 
Nenda uje kutueleza naona umekasirika ila ukweli ndio huo.
ulaya ilikuwa zamani sio sasa.na wadogo zangu mpaka pesa ya matumizi inatoka bongo.
Tena wapo USA

USA sio kama ya zamani kwa mgeni America dream ni America waste time.pesa utakazopata zinaishia kwenye magalama ya kodi.

Pili waamiaji kutoka africa wamekuwa wengi mwisho wa siku unakuwa cheap kwenye kazi.

ulaya ni karata tatu 1-mavi 2-jokeri 3-kopa..utachagua
Kwahyo unashaur nn kaka mwenye roho mbaya.. yaan tupe point yako kwenye huu uzi.. maana naona uko negative sana kwenye kila kitu... Haya tuambie .. kutokana na uzi wangu unasemaje sasa. Kwamba nmeshindwa maisha au ni nin... Tupe hasa point yako ni nin...
 
Roho mbaya sina sio kwamba sipajui ila maisha mema na kazi njema huko ulaya
 
Back
Top Bottom