Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Mrejesho: Nyumba yangu kuuzwa

Madam vero

Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
85
Reaction score
185
Aman iwe kwenu wakuu,

Kutoka Moyoni mwangu, nawashukuru wana jamvi kwa ushauri mzuri. Japo wapo wapo walio nidhihaki nawao pia nawashukuru pia.

Jamani wanaume mnatutesa wake zenu IPO HV wakuu, mume wangu alimchukulia nduguye mkopo wa mill.20 bank akaweka dhamana ya nyumba yetu.

Nyumba ambayo nimejenga kwa jasho langu miaka mitano najenga yeye kaja kunioa juz juz kanikuta nimejiimarisha nyumba yangu imeisha bado kuweka vioo na gypsum tu. Nimetumuia gharama kubwa na mikopo juu ili tu niwe na kwangu.

Akaja kuweka dhamana ya nyumba bila kunishirikisha yaani bado mwezi mmoja ndo napata habar kuwa nyumba yetu inapigwa mnada.

Na usitoshe kwasasa sina kazi ni maza House nimefukuzwa kazi kwa uzembe kazini, na riba imeongezeka plus na dalali jumla nimelipa million10

Amenipa presha nimeuza nyumba yangu, nimelipa deni sasa HV nipo kwenye upangaji napambana na wenye nyumba zao.

Imeniuma SNA wanaume MNA roho gani, yaan hata hamu nae sina natamani niachike ila dini hairuhusu.

HV tukiwasaliti, mtatuona Malaya kweli. Ndoa ngumu ndugu zangu acheni tu.
 
Pole madam,, kwaiyo mlifanikiwa kuiuza kabla ya hao watu wa Bank kuja kuipiga mnada? Mvumilie tu mumeo,,,sisi wanaume tuna mitiani sana,,Ila next time mwambie hasiwaamini ndugu
 
Wewe haukusaini? Lazima benki ikuite hata kama sio mwenye nyumba ila mke wa muomba mkopo.

Ungekataa kabla ya kusaini. Kama haukuridhia nyumba yako iwekwe dhamana nyumba haiwezi kuuzwa kama uliridhia huo ni uzembe wa maono yako na mmeo.
 
Ah mamake, msaliti tu.

Yeye si kaweka nyumba bondi bila kukupa taarifa? Na wewe weka tunda bondi.

Weka ugoko tuweke chuma
Nooooo,that's wroooong!Asijaribu hilo. Wavumiliane.Watapata nyumba nyingine,niamini.Visasi havina mwisho mwema.
 
Pole madam,, kwaiyo mlifanikiwa kuiuza kabla ya hao watu wa Bank kuja kuipiga mnada? Mvumilie tu mumeo,,,sisi wanaume tuna mitiani sana,,Ila next time mwambie hasiwaamini ndugu
Nimeuza kabla ya tarehe maana ingekua aibu kubwa mtaani, kinacho niumiza zaidi nyumba yenye thamani ya mill50, nimeuza kwa sh.mill.27
 
Pole sana...

Kuna kitu nmekumbuka hata kukiongelea nashindwa ila binadamu wana mambo ya ajabu sn
 
Back
Top Bottom