Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Kosa la jinai Hilo. Isijekuwa kama mcheza sinema mmoja wa bongo. Ohoo.wewe mbembeleze tu Atakubali [emoji16][emoji16]
Hatufanyi kitu nakuwa nakufariji tu na msg nzuri nzuri...ukiamka asbh unakuta baby gmorning...mchana nakuuliza honey umekula....ucku nakwambia sweetheart gnyt

Utasikia raha ya maisha ujue
 
Funny%2BMerry%2BChristmas%2BMemes%2Bcollection.JPG
 
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.

Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,

nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.

ANGALIZO[emoji724]

[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.

[emoji120][emoji120].Asanteni.
Wewe kipindi unaruka ruka vijana unawaletea pozi ulijua wakati ni milele??
Bila kuachia uvungu utaishia kumaliza sole za viatu kucheza kwaito harusi za wenzako
 
Sio kwamba umeamua kuwa single, hujapata anayekupenda akakujalu mbona utaukana huu uzi kabisa. Tulia tu iko siku yako yakufurahi dear.
 
Kaa kimya mwambie MUNGU,kuja hapa kusema hutaki mume ilihali faida au asala ni ya kwako humu nani atakusaidia?sorry kwa kauli yangu kama utakwazika lakini sioni sababu ya kusema sema hapa kwa swala hilo lililo ndani yako na MUNGU pekee.
 
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.

Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,

nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.

ANGALIZO[emoji724]

[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.

[emoji120][emoji120].Asanteni.
Mbona mi Nakupenda kweli?
 
Hatufanyi kitu nakuwa nakufariji tu na msg nzuri nzuri...ukiamka asbh unakuta baby gmorning...mchana nakuuliza honey umekula....ucku nakwambia sweetheart gnyt

Utasikia raha ya maisha ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom