Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Hii imekula kwako live na usipojiangalia utaumia zaid na zaidi ww.
 
Raimundo Teh teh...Ndo kurubuniwa huko..

huyu jamaa vituko sana..Nikikumbuka ile mada yake ya kunusa vyupi na kuvundika uvundo,uwa nacheka tu
 
Last edited by a moderator:
Umelala naye mwaka mzima , na mimba umempa ....hiyo laki sita ni ndogo sana....itabidi upigwe fine we pambaf!
 
Kumbe wote wawili mko humu JF... safi sana, sasa na wewe mdada jitokeze tukupe mbinu.... pesa hiyo ilishalipwa kwa kuonjeshwa tena zaidi ya mara mbili. Usiogope vitishoooo ameula wa chuya. Anachekesha mkenya huyu... eti nitadai mimba ni yangu akuache!! unamla mke wa mtu tena kavukavu halafu unajitia kwenda kujieleza kwa mumewe mie ndie mwizi!!! Khaaaa!
 
Kumbe una familia halafu wapanga kumharibia mwenzako!!!jiandae wote kuachika na mtaoana mlioachwa mlee vzur hiyo mimba kama yako kwel!!
Potezea tu,ukimpa loan mtu siku nyngne usipokee favour yake yoyote mpaka akulipe lasivyo umejilipa,haha karibu Tanzania,Nchi ya Magufuli,HAPA KAZI TU!!
 
kwahiyo ulilala nae bure! mama kajilipa mwenyewe....

Mkuu huyu msolombwete mbwiko mkenya analeta za kuleta utarudi kenya kabadilika kenya. Halafu analeta dharau, kuhonga kwenyewe laki sita. Watu wanahonga vitz nyekundu, vitz za Rangi nyingine, RAV4,IST nk nk
 
Acha kugeneralised kwamba wanawake wa Tanzania ni shameless,Hivi mnajjijua huko kwenu mlivyokuwa matapeli,Wanawake wenu wana njaa ya hatari.WW ulifurahia mzigo bure sio hio ndio malipo yake.Tafuta hela nyingine na si kulalamika public hautapata msaada.
 
ww kama ulimkopa je,unazodocuments za kumkopesha? au ulimpa mkiwa na ushaidi? inaonyesha ni umalaya wako,na uroho wako. toka lini ukampa hela hawala kwa siri,alafu ukataka akulipe!!!
 
Hii mutu ni mulongo sana, iko penda sana kati ya mwili
ya sichana ya kibongo, leo iko geuka kuwa ile mimba ni yake
je ile sicha ikikupa wewe hiyo mimba utaweza ibeba kwa tumbo yako
na kula limao za muzee ya kufufua misukule..?
 
unachotaka kukifanya usije ukashangaa yamekugeukia, cheza utashikishwa ukuta na pesa ingine utatoa
 
Back
Top Bottom