Wapendwa Paulo Sergio De Souz, Kaboom na Evelyn Salt; hivi hiyo kwenye red ndo kurubuniwa?
Nisije nikatoa ushauri bila kujua maana halisi ya maneno.
jamani kwani tumerudi kwenye ujamaa?Ila ni bure, usije kunitumia invoice, maana wewe!
kwahiyo ulilala nae bure! mama kajilipa mwenyewe....
jamani kwani tumerudi kwenye ujamaa?