Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

kwanza umedhalilisha lugha ya kiswahili ambayo ni lugha yetu ya Taifa. hivi akili yako inawaza both sides kwa maana ya +ve effects na -ve effects. yaani umwambie mumewe kuwa hiyo mimba ya mkeo si yako bali ni yangu ! unategemea huyo mme atakuchekea lazima achukue hatua mbaya sana dhidi yako maana kwa hiyo sms utakuwa umejithibitishia kuwa umetembea na mke wa mtu hadi umempa mimba adhabu yake ni mbaya sana na anaweza akakuua. sikiliza ndugu huwezi kushindana na mwanamke kwa jambo la kipuuzi kama hili, yaani unamdai mpenzi wako. hata ukienda polisi huyo mwanamke lazima ashinde. potezea hiyo hela najua inauma ila kuitaka kwa njia ya kumtumia sms mumewe utaingia matatizoni sana sana sana.
 
Ladies and gentlemen i great you all

Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand before we slept
Later that lady who is pregnant and close to delivery refused to payback my money, kwa vile nilitembea naye ndio pesa namdai imetumika hivyo

Feedback

Nearly a week or so nimekwenda kuona boss wetu kuhusu pesa hiyo, anisaidie yule mama anipatie, niliambia boss kwamba nilimpa loan on humanitarian grounds since alisema ana shida nyumbani kwake atarudisha on payday 23 October but to this date hajalipa
Boss akaita yule mama na mama akasema hajawai pokea chapaa yoyote kutoka kwangu, tukaanza bishana hapo

Ikawa my words against her's and vice versa, nikaonesha boss sms moja from her to me ikisema. "Usijali nitakulipa tu nikiwa ok".
But to my surprise our boss defended her and dismissed that case kwamba company haiusiki na staff kukopeshana pesa na haikuwako siku tunapeana
I have never understood him to this date

Vile tulitoka kwa boss jioni aliniambia ya kwaba "" ww ulipeleka shida hii kwa Jf sasa watakulipa Jf, kwaba "unanisumbua na pesa kidogo tu hiyo, kama ni million mia moja si ungeend kwa TV!!

Now this is my reply to her

Am giving you only 3 days, kama bado kulipa baada ya hiyo time, nitatafuta simcard ingine na kumtumia husband yako sms kwaba hiyo mimba uko nayo si ya kwake ni kwangu, that, nimekua na relationship na ww for a year, na sasa hiyo ni mimba yangu, na nitasema asijisumbue kusubiri mutoto, ni wakangu mm

Then nitatuma hiyo SMS, sasa wacha tuone kama utabaki kwa hiyo marriage, na nitaendelea kutuma sms whenever necessary
Am giving you only 3 days before i execute this plan

I never knew if Tanzanian women are shameless to this extent,
Besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

I also have a family to take care of

Now let us see

Ulichopewa wewe na boss wenu amepewa hicho hicho wanawake si mchezo akili zaidi inatakiwa, kuna mwalimu mmoja nilimtongoza Maswa sikutano baadaye kabla hajanipa dose akaomba nimkopeshe laki mbili angerudisha siku tatu baadaye kuona hivyo nikamwambia nina matatizo makubwa nadaiwa ada ya mwanangangu na nilikuwa namuomba aniongezee laki tano kumweleza hivyo hata simu yangu hapokei mpaka leo, zaidi ya hapo umalaya wako umekuponza wewe kusoma hujui hata picha kuangalia huwezi mtu unamdai anakutongoza unakubali unadhani wewe ulikuwa handsome sana au ni fedha zako zilitakiwa?

Ukimwambia mume wake hiyo mimba ni yako ujiandae kulipa fidia ya kutembea na mke wa mtu na wewe unamthibitishia kuwa mimba ni yako usidhani anaweza kumwacha mkewe siyo wanaume wote wana react kama unavyodhani wewe kuna mwingine hata akimfumania mkewe atamuuliza kama ametumia kondom na anarudi naye na kupiga mzigo kama kawaida, kubali matokeo achana na hizo ila ukifuatailia sana jiandae kutoa nyingine zaidi ya hizo.
 
Huyu kaka ni msanii hana lolote,
Series ya kwanza alitumia lugha iliyonyooka akatupia kiduchu na kikeii,
Series ya pili kaja na kikeii mwanzo mwisho,

Najiuliza km sio usanii ni nini, yani aseme huyo dada kamwambia ameona ametangaza jf,
Na sasa kaja kutangaza tena mpk mbinu kaiweka wazi ina maana hataona?

Series ya tatu itakuja tayar kamfanyia kitu mbaya, dada kalipa pesa yote na usumbufu juu,
Atajisifia "Wakenya hawataki mchezo kwenye pesa tena ni Mafia haswaaa"

Let us Wait and See.
 
Ahhhhh wewe mungiki kumbe ni wewe!! Wife alishanieleza issue yote. Tena najua huna work permit, jiandae immigration nawalengesha kwako
 
Better ukae kimya na yaishe. What you are planning to do will take you back to Kenya and destroy your marriage too.

This is Dar es Salaam. You had her, tell me more is she sweet? Did you use condom? The Devil told me to at inform you that, he is tired and sick of using his name when your dick is on.

Mimba imetajwa hapo halafu unauliza mambo ya condom!....mkuu unataka kudanganywa!?
 
Mimba imetajwa hapo halafu unauliza mambo ya condom!....mkuu unataka kudanganywa!?

Sasa kama alipiga ngindule anabwabwaja nini humu? Huyu tukimwita ---- tutakosea? Watu wanapigwa hati yeye kilo sita tayari amewaka
 
Huyu kaka ni msanii hana lolote,
Series ya kwanza alitumia lugha iliyonyooka akatupia kiduchu na kikeii,
Series ya pili kaja na kikeii mwanzo mwisho,

Najiuliza km sio usanii ni nini, yani aseme huyo dada kamwambia ameona ametangaza jf,
Na sasa kaja kutangaza tena mpk mbinu kaiweka wazi ina maana hataona?

Series ya tatu itakuja tayar kamfanyia kitu mbaya, dada kalipa pesa yote na usumbufu juu,
Atajisifia "Wakenya hawataki mchezo kwenye pesa tena ni Mafia haswaaa"

Let us Wait and See.

Sehemu ya kwanza pia ilikua na kiswahili kama hiki hiki, hata post zake za nyuma pia zilikua hivi hivi, nakumbuka wengi sana tulicheka kwa kiswahili chake kibovu, mke huwa anaita bibi
Labda huenda umechanganya na mtu mwingine

Any way unaweza kuwa sahihi pia, maana Jf watu wameshindikana
 
Usituletee za kikenya kenya hapa, wewe wakati unamduu ulitegemea upewe bibi bureee
Better ukae kimya usije ukaiacha TZ ya Maghufuli for 24hrs, huwajui wabongo naona
Laki sita ulitoa, bibi ulipewa sasa shida iko wapi
 
Back
Top Bottom