Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Mrejesho: Nilimkopesha pesa, baada ya kunipa penzi, kagoma kulipa

Huyu mwongo....iwe ali-seduce (tongoza) au la, hakubaka!

Huyo dogo anatakiwa kutulia kwa sababu hayo ni malipo halali!!

Halafu anaongea kwa confidence kutembea na mmama wa watu mwenye mima ya zaidi ya miezi 6!
 
Mkuu,
Kama hii tamthilia ni kweli basi neno moja la faraja ni kuwa...umepata utamu! tena usivyo muoga, wa mjamzito.
Ushauri ni kuwa mwanaume ni wa kupigana maisha yake yote. Tafuta hela kwingine,ile ishatoka. Na ukome kukopesha hovyo bila maandishi.

Halafu, hebu waza kwa makini....umkopeshe pesa meaning alikuomba na ukampa. Akakuseduce (according to you)....ukala tunda meaning ukakubali.
Sasa kelele zinatoka wapi wakati umedai..akakataa!

NOTE: Kutaka kushindana na mwanamke kwenye masuala haya......mwishowe ni aibu KUBWA SANA kwako na kizazi chako
 
ndingi mwana nzeki acha kujizalilisha, unadai unafamilia hiyo familia inahasara kwa huu upuuzi unaouendekeza. Unafikiri ni sifa ulichokifanya, sasa kama unamfaham si umalizane nae hukohuko? Kuna haja gani kutuletea hii habari na kutoa vitisho vya siku tatu? Very shame, hela yenyewe laki sita!!!!!!

Jaribu kuwa muungwana kidogo, hata kama haujazoea. Hili jambo ungeweza kulimaliza kistaarabu sasa unapokuja hapa na hadithi za yeye ndio aliku seduce sisi tufanyaje? Unafikir sisi hatuwi seduced? Au tunamkubalia tu kila anaetuseduce?
Mwanamalundi hua anasema hayatuhusu, tafuta suluhu ya hili jambo acha kutapatapa. Ukisingizia mimba yako na DNA zikaja kuonyesha sio kweli hauoni unajitengenezea kesi nyingine?
 
Last edited by a moderator:
ladies and gentlemen i great you all

earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand before we slept
later that lady who is pregnant and close to delivery refused to payback my money, kwa vile nilitembea naye ndio pesa namdai imetumika hivyo

feedback

nearly a week or so nimekwenda kuona boss wetu kuhusu pesa hiyo, anisaidie yule mama anipatie, niliambia boss kwamba nilimpa loan on humanitarian grounds since alisema ana shida nyumbani kwake atarudisha on payday 23 october but to this date hajalipa
boss akaita yule mama na mama akasema hajawai pokea chapaa yoyote kutoka kwangu, tukaanza bishana hapo

ikawa my words against her's and vice versa, nikaonesha boss sms moja from her to me ikisema. "usijali nitakulipa tu nikiwa ok".
But to my surprise our boss defended her and dismissed that case kwamba company haiusiki na staff kukopeshana pesa na haikuwako siku tunapeana
i have never understood him to this date

vile tulitoka kwa boss jioni aliniambia ya kwaba "" ww ulipeleka shida hii kwa jf sasa watakulipa jf, kwaba "unanisumbua na pesa kidogo tu hiyo, kama ni million mia moja si ungeend kwa tv!!

Now this is my reply to her

am giving you only 3 days, kama bado kulipa baada ya hiyo time, nitatafuta simcard ingine na kumtumia husband yako sms kwaba hiyo mimba uko nayo si ya kwake ni kwangu, that, nimekua na relationship na ww for a year, na sasa hiyo ni mimba yangu, na nitasema asijisumbue kusubiri mutoto, ni wakangu mm

then nitatuma hiyo sms, sasa wacha tuone kama utabaki kwa hiyo marriage, na nitaendelea kutuma sms whenever necessary
am giving you only 3 days before i execute this plan

i never knew if tanzanian women are shameless to this extent,
besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

i also have a family to take care of

now let us see
okay, unasema tanzanian women are so shameless, wewe ni mkenya, kwa kuangalia ulivyoandika hapa, ila nataka kukuambia kua kusema hivyo ni upumbavu, upumbavu, mtupu na unatakiwa kuomba msamaha, kwa nini?... Ukienda kila sehemu iwe hata kenya au ulaya au popote utakuta kuna watu wastaarabu na wasio wastaarabu, sasa ukianza kutukana watu wote kisa wewe na hawara wako mmeshindwana ni kukosa busara kabisa na unatakiwa utuombe msamaha
 
Halafu anaongea kwa confidence kutembea na mmama wa watu mwenye mima ya zaidi ya miezi 6!


Huyu jamaa kaniudhi sana. Sijawahi kusikia mtu anajisifu kwa kutembea na mke wa mtu. Walau baadhi ya mashangingi huwa yanatamba kuchukua waume za watu. Ila kwa wanaume hatufanyi upuuzi wa namna hii.

Ningemwona wa maana kama angeomboleza na kukubali maumivu ya kuliwa 600K. Na bahati mbaya, kwa wadau wa mjini hii (laki 6) wala haijafikia hela ya mboga!
 
ndingi mwana nzeki acha kujizalilisha, unadai unafamilia hiyo familia inahasara kwa huu upuuzi unaouendekeza. Unafikiri ni sifa ulichokifanya, sasa kama unamfaham si umalizane nae hukohuko? Kuna haja gani kutuletea hii habari na kutoa vitisho vya siku tatu? Very shame, hela yenyewe laki sita!!!!!!

Jaribu kuwa muungwana kidogo, hata kama haujazoea. Hili jambo ungeweza kulimaliza kistaarabu sasa unapokuja hapa na hadithi za yeye ndio aliku seduce sisi tufanyaje? Unafikir sisi hatuwi seduced? Au tunamkubalia tu kila anaetuseduce?
Mwanamalundi hua anasema hayatuhusu, tafuta suluhu ya hili jambo acha kutapatapa. Ukisingizia mimba yako na DNA zikaja kuonyesha sio kweli hauoni unajitengenezea kesi nyingine?

Halafu huyu jamaa bado kinda kweli. Anataka kutuma sms kwa mume ili kuvunja ndoa wakati yeye kaweka ushahidi wote hap JF. Sasa huyo mgoni wake akituma hizi links kwa mke wake nani atavunjiwa ndoa kabla ya mwenzake?
 
Hii Lugha iliyotumika leo sio ile iliyotumika kwenye ile chai ya kwanza.
Next wewe jamaa utakuwa kiazi kuliko viazi vyote, unataka kuaribu ndoa ya mtu kwa ajili ya laki 6, unatobolewa bomba la nyaa wewe sio bure.
 
Sasa na mimba kumbe ulimpa afu unadai laki sita ya nini.....?,wakenya wengine bana
 
Halafu huyu jamaa bado kinda kweli. Anataka kutuma sms kwa mume ili kuvunja ndoa wakati yeye kaweka ushahidi wote hap JF. Sasa huyo mgoni wake akituma hizi links kwa mke wake nani atavunjiwa ndoa kabla ya mwenzake?

Tena naanza kupata wasiwasi hata kama ametembea na huyo mwanamke! Kwa mtindo huu natamani huyo mwanamke nae angefunguka unaweza kukuta hii stori imetengenezwa ikaletwa tofauti kabisa na uhalisia.
 
Hujui wamama Wa kibongo.... Wako smart katka hiyo mambo.... Wait and see... Utampa nyingine ili akae kimya... Bora ukubali loss hii mapem
 
Ladies and gentlemen i great you all

Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand before we slept
Later that lady who is pregnant and close to delivery refused to payback my money, kwa vile nilitembea naye ndio pesa namdai imetumika hivyo

Feedback

Nearly a week or so nimekwenda kuona boss wetu kuhusu pesa hiyo, anisaidie yule mama anipatie, niliambia boss kwamba nilimpa loan on humanitarian grounds since alisema ana shida nyumbani kwake atarudisha on payday 23 October but to this date hajalipa
Boss akaita yule mama na mama akasema hajawai pokea chapaa yoyote kutoka kwangu, tukaanza bishana hapo

Ikawa my words against her's and vice versa, nikaonesha boss sms moja from her to me ikisema. "Usijali nitakulipa tu nikiwa ok".
But to my surprise our boss defended her and dismissed that case kwamba company haiusiki na staff kukopeshana pesa na haikuwako siku tunapeana
I have never understood him to this date

Vile tulitoka kwa boss jioni aliniambia ya kwaba "" ww ulipeleka shida hii kwa Jf sasa watakulipa Jf, kwaba "unanisumbua na pesa kidogo tu hiyo, kama ni million mia moja si ungeend kwa TV!!

Now this is my reply to her

Am giving you only 3 days, kama bado kulipa baada ya hiyo time, nitatafuta simcard ingine na kumtumia husband yako sms kwaba hiyo mimba uko nayo si ya kwake ni kwangu, that, nimekua na relationship na ww for a year, na sasa hiyo ni mimba yangu, na nitasema asijisumbue kusubiri mutoto, ni wakangu mm

Then nitatuma hiyo SMS, sasa wacha tuone kama utabaki kwa hiyo marriage, na nitaendelea kutuma sms whenever necessary
Am giving you only 3 days before i execute this plan

I never knew if Tanzanian women are shameless to this extent,
Besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

I also have a family to take care of

Now let us see

it better you give it up my friend coz u gave her the money in return of sex that's obvious, but what your trying to do may harm your future completely through the impact of your planned action to her from his husband. My advise its better you forego it.
 
Ahahaaaaaa. Ulivokua unamvua ile nguo yake ya ndani ili uingize dudu yako ulidhani ni gani?
 
Usishangae mmewe akakujibu kwamba mchezo wote anaufahamu na ndiye aliyetoa ridhaa upewe papuchi kwa laki sita maana maandalizi ya kiumbe yalilegalega.... Kweli wewe ni mugeni wa bongoland... Nasubiri episode ijayo
 
Badala uendeleze kula nyama we unakomalia kudai hela, hela si inatafutwa bhana we mwanaume.
 
Ladies and gentlemen i great you all

Earlier this month nilipitiwa na shetani, accidentally nikajikuta nimetembea na mama mumoja, a workmate ambaye nilikua nimemupa loan ya six hundred thousand before we slept
Later that lady who is pregnant and close to delivery refused to payback my money, kwa vile nilitembea naye ndio pesa namdai imetumika hivyo

Feedback

Nearly a week or so nimekwenda kuona boss wetu kuhusu pesa hiyo, anisaidie yule mama anipatie, niliambia boss kwamba nilimpa loan on humanitarian grounds since alisema ana shida nyumbani kwake atarudisha on payday 23 October but to this date hajalipa
Boss akaita yule mama na mama akasema hajawai pokea chapaa yoyote kutoka kwangu, tukaanza bishana hapo

Ikawa my words against her's and vice versa, nikaonesha boss sms moja from her to me ikisema. "Usijali nitakulipa tu nikiwa ok".
But to my surprise our boss defended her and dismissed that case kwamba company haiusiki na staff kukopeshana pesa na haikuwako siku tunapeana
I have never understood him to this date

Vile tulitoka kwa boss jioni aliniambia ya kwaba "" ww ulipeleka shida hii kwa Jf sasa watakulipa Jf, kwaba "unanisumbua na pesa kidogo tu hiyo, kama ni million mia moja si ungeend kwa TV!!

Now this is my reply to her

Am giving you only 3 days, kama bado kulipa baada ya hiyo time, nitatafuta simcard ingine na kumtumia husband yako sms kwaba hiyo mimba uko nayo si ya kwake ni kwangu, that, nimekua na relationship na ww for a year, na sasa hiyo ni mimba yangu, na nitasema asijisumbue kusubiri mutoto, ni wakangu mm

Then nitatuma hiyo SMS, sasa wacha tuone kama utabaki kwa hiyo marriage, na nitaendelea kutuma sms whenever necessary
Am giving you only 3 days before i execute this plan

I never knew if Tanzanian women are shameless to this extent,
Besides, she is the one who seduced me, kumbe ana mupango wa kunidhulumu pesa, aje aseme iliisha vile tulilala, mm sijawahi patia mwanamuke zaidi ya fifty thousand

I also have a family to take care of

Now let us see

Pole ila nimecheka sana..We achana naye tuu
 
Sikuwahi kudhani kuwa majirani zetu ni malofa na wapumbavu kwa kiwango hichi......
 
Back
Top Bottom