Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Ok naomba unitumie majina yako yote ambayo ni halisi kwenye cheti maana nipo Singida now j3 nifuatilie niwaletee wanajamvi mrejesho
Ahsante Mkuu fuatilia, nasi tutakuunga mkono.
 
Bahati mbaya Mpauko wengine kati ya ulowafuata hapa KUWAOMBA NA WAKAKUTOSA wamepanda vyeo! We huko huendako utakuwa na CHEO kikubwa sana na siku wao pia WAKIJA huko uliko na wakakuomba msaada huku wakilia na kusaga meno ndugu yangu USISITE KUWASAIDIA na KUWAKUMBUSHA pia walivyokutosa huku DUNIANI.
Ndio hawana ushirikiano kabisa pia wapo.

Esther mmasy

Azan zungu

Anthony mavinde(ofisi ya waziri mkuu upande wa walemavu)

Mh.possi(ofisi ya waziri mkuu anahusika na walemavu)

Mbunge mstaafu wa mtwara mjini

Serukamba

Mbunge wa iringa mjini

nimehangaika kila mahali kwakweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusilaumiane muda huu Ila tusameheane na kutiana moyo!tujifunze kwa uzembe tulioufanya then tumuombee marehemu apumzke Pema,

Members tubadilike,tuifanye jf kuwa tofauti na Facebook kwa kusaidiana pia katika shida na raha!
Sisi sote ni ndugu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Dah nyota ndogo aliimba "kuna watu na viatu"
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka

We dada hebu Kemea hiyo roho ya shetani, sio wewe huyo trust me, bora ungeenda wewe Mpaiko abaki
 
Huyu jamaa alistruggle sana...dah!
ni vyema kusaidia mtu bila kujali anakutapeli ama laa....
inaumiza sana kutokumsaidia mtu mwenye uhitaji
 
Asante sana kaka,sina cha kukulipa,kwa muda wako,rasilimali zako na kujitolea kwako,Mungu akubariki.

Mkurugenzi melo nadhani ni mtu mmoja bussy sana,ningeshauri wewe mwenyewe ndiye ukusanye chochote kitakachopatikana na ulipe na kunipatia payslip endapo bado upo huko Singida.

Mbali na yote,narudia tena Mungu awabariki kwa Moyo wa ukarimu na kujitoa kwa mtu baki,ingawaje bado kila mtu ana matatizo yake pia.
Huyu jamaa,!!!! MUNGU MUWEKE MAHALI PEMA PEPONI.
 
Ama kweli hii ndio dunia ya sasa. Viongozi kweli kabisa wenye uwezo na WANAJUA kwamba wana UWEZO hawasaidii kwa kweli no kufuru iliyoje hii Mungu aliwapa kazi nzuri lakini wanajifanya haliwahusu LA vijana kama hawa.
Huwezi jua huyu kijana baadae angekwenda kuwa mtu mkubwa na wewe kipindi hiko ndio hivyo tena, ila tunasema dunia duara, Mungu ampumzishe kwa amani.
Angesaidiwa fasta,Labda angekua demu mwenye mswambwanda.Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom