Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Hata Mimi nimeshangaa sana aisee.
Yaani ofisi ya wilaya ikose akiba hata ya 1.2m kusaidia watu wenye matatizo Kama haya.
Kiukweli viongozi wengi hawajui wanachokifanya kwenye ofisi zao yaani wapo wapo tu ili mradi wanaenda kazini na kurudi.
Ndugu, usiseme hivyo. Ofisi ya mkuu wa wilaya inapokea watu wa aina hiyo wengi sana kwa siku. Unadhani wataweza ikiwa hata hela ya wino wa printer tu ni shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu jaribu kwenda kanisani au msikitinj au nenda ustawi ukaandikiwe barua ya kusamehewa ada ...humu unapoteza muda tu

sent from toyota Allex
 
@Maxence melo alikataa kufanya endosement kama inavyoonekana katika screenshot.

Taasisi niliyohitimu(ST.BENARD TEACHERS COLLEGE) mfumo wake wa malipo ni sawia na ule wa shule za sekondary (kwenda na payslip) ndiyo maana sijaweka account ya taasisi kwani nitakosa payslip kama udhibitisho wa malipo chuoni.

Naomba tusaidiane kwa kujitolea katika hili ili niweze kufikia lengo kwani hakuna mchango wowote toka kwa wanajamiiforum hadi sasa ingawaje nilitarajia kuungwa mkono zaidi na Jamiiforum lakini matarajio yamekuwa tofauti licha ya kuweka vidhibitisho vyote.View attachment 1200843
Dah😨
 
Mkuu jaribu kwenda kanisani au msikitinj au nenda ustawi ukaandikiwe barua ya kusamehewa ada ...humu unapoteza muda tu

sent from toyota Allex
He already committed succeed,there is lesson here .
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Don't preach negativity life is too short we have to love each other.
 
Back
Top Bottom