Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Kama umeweka majina yako halisi unashindwa nini weka hiyo namba?
 
Asante dadaangu.

Namba ya mkuu wa chuo nimemtumia PM
Namba za ofisi ya mkuu wa chuo kufanya Siri kutuma PM no no no no .Namba ya ofisi ya principal Sio Siri na haiji kuwa Siri milele iweke public
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Una uhakika!?
Amekuibia Nini?
Acha kujichumia dhambi wewe.
Huyu Kaka watu wanamfahamu humu..wanajua hii hali anayopitia..
Kwanini Kama huna uhakika usikae kimya!?
Sio vizuri hivyo.
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Dah kaka mbona namba ya mkuu wa chuo nimekutumia PM.

Kwanini usimpigie ujiridhishe,mwizi nimeiba nini kaka? Nipo kuomba tu msaada lakini sijaiba chochote cha mtu.
 
Kama umeweka majina yako halisi unashindwa nini weka hiyo namba?
Kwa sababu endapo kila mtu atampigia itakuwa usumbufu,hata kama ungekuwa wewe usingefurahishwa na hilo.
 
Ukilipa kwenye akaunti statement ya benk huonyesha aliyelipiwaa ni Nani wewe Sio wa kwanza watu wanalipiwa na wafandhili was ndani na nje.Chuo mtu akikulipia kitaona kwenye benki statement ya benki.Hata kwenye simu waweza pata meseji .Hi kesi yako sioni ugumu.Mtu akikulipia aweke statement photo copy humu
Mkuu utaratibu huu unatikana katka vyuo vingi vikibwa na vyenye mchanganyiko wa kozi mbali mbali.

Chuo hiki kinatoa mafunzo ya ualimu,private candidates wa form 4 na form 6 pamoja na ICT.

utaratibu wa bank statement hautumiki ni sawa na utaratibu wa shule za sekondary ambapo unaenda na payslip tu ndio upewe lisiti yako.
 
Io pesa bora ufanyie biashara icho cheti na hicho chuo ulichosoma kupata kazi ya maana ni majaliwa kwa tz ya sasa
Mi naonA io pesa fanyia mtaji kwenye harakati zako.
 
Mwizi huyooooo mwizii jamii forums mwizi kaingia jamii forums.Members kaeni mbali na Mleta mada mtalia kilio Cha mbwa Koko.Mtatapeliwa mchana kweupe jua linawaka
Sio vzr jamaa kweli muhitaji ,kwanini unamtendea hivo, umekuwa na tabia ya kuwanyanyasa wahitaji , Mungu hapend ,yatakuja kukuta ,utashindwa kuomba msaada humu jf .
 
Io pesa bora ufanyie biashara icho cheti na hicho chuo ulichosoma kupata kazi ya maana ni majaliwa kwa tz ya sasa
Mi naonA io pesa fanyia mtaji kwenye harakati zako.
Achen maneno ya ajabu ajabu ,
 
Io pesa bora ufanyie biashara icho cheti na hicho chuo ulichosoma kupata kazi ya maana ni majaliwa kwa tz ya sasa
Mi naonA io pesa fanyia mtaji kwenye harakati zako.
Kwanini mnaktisha mtu tamaa?? Mbona mnajikuta ndo malaika wagawa rizki.. sio poa hvyo. Kama hukujaaliwa wewe basi sio mwenzio. Unajua humu ndani kuna watu wangapi wangeweza kumpatia hyo kazi?
 
Mkuu mimi sio mungu wala malaika nimetoa ushauri anaweza kuufata au asiufate na neno langu sio sheria nimeshauri kwa lengo la kusaidia na sio kubomoa. kwenye life ni vyema kuangalia pande zote positove na negative usiangalie positive tu. Embu fikiri io pesa yote akaenda kutoa cheti afu mambo yasiende alivyopanga ie akakosa io kazi anayoitaka utafurai ukimwona anarudi tena kuomba pesa ya mtaji wa biashara ilihali pesa alikuwa nazo akaopt kubeba cheti??.
Mtu anasaidiwa sio na pesa hata mawazo
Kwanini mnaktisha mtu tamaa?? Mbona mnajikuta ndo malaika wagawa rizki.. sio poa hvyo. Kama hukujaaliwa wewe basi sio mwenzio. Unajua humu ndani kuna watu wangapi wangeweza kumpatia hyo kazi?
 
Back
Top Bottom