Ok fanya kama nilivyokwambia hapo juu nitafika na kufuatilia kila kitu na nitarudisha majibu hapa na wanajamvi wataelewa tu watakusaidia, naimani watafanya sema wanahitaji udhibitisho wa uhakika ndugu , siku hizi utapeli ni mwingi sana so tukiridhika mbona utafurahia wema wa JFAkaunt ya chuo ipo,je mtu akilipa moja kwa moja account ya chuo mimi nitawapa udhibitisho gani wa malipo hayo.
Hii ni kwa sababu utaratibu ni ule wa kupeleka payslip pekee.
Serikali nimehangaika nao kwa muda mrefu miezi zaidi ya nane mwisho wa siku wakaniandikia tu hicho kibali.
Nimepita kwa afisa elimu,idara ya afya,mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,halmashauri na mbunge kote hakuna manufaa.
Haitoshi nimejaribu kwa mh.possi na mh. Mavinde hakuna ushirikiano pia.
Halmashauri walijaribu kuwasiliana na chuo kikagoma katakata ndipo wakanirudisha kwa mkuu wa wilaya,ofisi yake ikaniandikia hocho kibali na haikichangia hata shilingi.
OkUkiwa stendi mpya ya mabasi misuna chuo unakiona ukiulizia unaoneshwa.
Bodaboda ni elfu mpja.
Namba ya principal nakutumia PM
Nitashukuru sana endapo hili litafanikiwa.Toa Sio Hadi uombwe watu wanatakiwa waongee naye.Mlio singida nendeni direct kwenye chuo ku confirm na ara ilipwe account ya chuo na slip iwekwe hapa ili chuo kisije pokea pesa mara mbili mbili na kujikausha.Mhusika asipewe hata Mia zilipwe direct chuoni
Nafahamu,nakuPM namba ya principalOk fanya kama nilivyokwambia hapo juu nitafika na kufuatilia kila kitu na nitarudisha majibu hapa na wanajamvi wataelewa tu watakusaidia, naimani watafanya sema wanahitaji udhibitisho wa uhakika ndugu , siku hizi utapeli ni mwingi sana so tukiridhika mbona utafurahia wema wa JF
Ukilipa kwenye akaunti statement ya benk huonyesha aliyelipiwaa ni Nani wewe Sio wa kwanza watu wanalipiwa na wafandhili was ndani na nje.Chuo mtu akikulipia kitaona kwenye benki statement ya benki.Hata kwenye simu waweza pata meseji .Hi kesi yako sioni ugumu.Mtu akikulipia aweke statement photo copy humuAkaunt ya chuo ipo,je mtu akilipa moja kwa moja account ya chuo mimi nitawapa udhibitisho gani wa malipo hayo.
Hii ni kwa sababu utaratibu ni ule wa kupeleka payslip pekee.
Serikali nimehangaika nao kwa muda mrefu miezi zaidi ya nane mwisho wa siku wakaniandikia tu hicho kibali.
Nimepita kwa afisa elimu,idara ya afya,mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,halmashauri na mbunge kote hakuna manufaa.
Haitoshi nimejaribu kwa mh.possi na mh. Mavinde hakuna ushirikiano pia.
Halmashauri walijaribu kuwasiliana na chuo kikagoma katakata ndipo wakanirudisha kwa mkuu wa wilaya,ofisi yake ikaniandikia hocho kibali na haikichangia hata shilingi.
Icho kiasi ulichotaja na hao watu uliowafuata wote kweli kabisa wameshindwa kukuchangia,Jamani hawa viongozi wetu vipiAkaunt ya chuo ipo,je mtu akilipa moja kwa moja account ya chuo mimi nitawapa udhibitisho gani wa malipo hayo.
Hii ni kwa sababu utaratibu ni ule wa kupeleka payslip pekee.
Serikali nimehangaika nao kwa muda mrefu miezi zaidi ya nane mwisho wa siku wakaniandikia tu hicho kibali.
Nimepita kwa afisa elimu,idara ya afya,mkuu wa wilaya,mkuu wa mkoa,halmashauri na mbunge kote hakuna manufaa.
Haitoshi nimejaribu kwa mh.possi na mh. Mavinde hakuna ushirikiano pia.
Halmashauri walijaribu kuwasiliana na chuo kikagoma katakata ndipo wakanirudisha kwa mkuu wa wilaya,ofisi yake ikaniandikia hocho kibali na haikichangia hata shilingi.
Hata mia hapo.nimekufatilia muda mrefu ww ni mkosoaji na MTU wa ovyo sana.huyu kijana ni mhitaji kwa kweli kwanini unapenda kuona wengine wezi?shame on you yehodaya.Toa Sio Hadi uombwe watu wanatakiwa waongee naye.Mlio singida nendeni direct kwenye chuo ku confirm na ara ilipwe account ya chuo na slip iwekwe hapa ili chuo kisije pokea pesa mara mbili mbili na kujikausha.Mhusika asipewe hata Mia zilipwe direct chuoni
Umpe namba ya principal kweli Sio kishoka.Sielewi kwa Nini huweki public hiyo namba unaficha Nini? Mkuu wa chuo Ni official figure weka namba zake za kiofisi hapa hakuna Cha PM .Nafahamu,nakuPM namba ya principal
Anaficha akaunti anaficha namba ya ofisi ya mkuu wa chuo why? Eti namba ya mkuu wa chuo Siri utatumiwa PM .Namba za mkuu wa chuo za ofisi Sio Siri hata siku moja .Anayetaka kutapeliwa ruksaHuna
Hata mia hapo.nimekufatilia muda mrefu ww ni mkosoaji na MTU wa ovyo sana.huyu kijana ni mhitaji kwa kweli kwanini unapenda kuona wengine wezi?shame on you yehodaya.
Umpe namba ya principal kweli Sio kishoka.Sielewi kwa Nini huweki public hiyo namba unaficha Nini? Mkuu wa chuo Ni official figure weka namba zake za kiofisi hapa hakuna Cha PM .
Ndio hawana ushirikiano kabisa pia wapo.Icho kiasi ulichotaja na hao watu uliowafuata wote kweli kabisa wameshindwa kukuchangia,Jamani hawa viongozi wetu vipi
Itakua poa sana mkuuOk fanya kama nilivyokwambia hapo juu nitafika na kufuatilia kila kitu na nitarudisha majibu hapa na wanajamvi wataelewa tu watakusaidia, naimani watafanya sema wanahitaji udhibitisho wa uhakika ndugu , siku hizi utapeli ni mwingi sana so tukiridhika mbona utafurahia wema wa JF
Mkuu hayo ni mawasiliano ya mtu binafsi endapp nawe unaihitaji naweza kukutumia PM.Umpe namba ya principal kweli Sio kishoka.Sielewi kwa Nini huweki public hiyo namba unaficha Nini? Mkuu wa chuo Ni official figure weka namba zake za kiofisi hapa hakuna Cha PM .
Pole sana ndugu yangu,Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi huo ni mtihani tu utaisha kijana mwenzanguNdio hawana ushirikiano kabisa pia wapo.
Esther mmasy
Azan zungu
Anthony mavinde(ofisi ya waziri mkuu upande wa walemavu)
Mh.possi(ofisi ya waziri mkuu anahusika na walemavu)
Mbunge mstaafu wa mtwara mjini
Serukamba
Mbunge wa iringa mjini
nimehangaika kila mahali kwakweli.
Hata Mimi nimeshangaa sana aisee.Icho kiasi ulichotaja na hao watu uliowafuata wote kweli kabisa wameshindwa kukuchangia,Jamani hawa viongozi wetu vipi