born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,333
- 1,497
Na
Na wewe ni mbabaishaji tu....ushasema kuwa uchangii hata mia,sasa hizo contact za principal we za nini? Acha wenye nia ya dhati waulizie sio wewe.Toa Sio Hadi uombwe watu wanatakiwa waongee naye.Mlio singida nendeni direct kwenye chuo ku confirm na ara ilipwe account ya chuo na slip iwekwe hapa ili chuo kisije pokea pesa mara mbili mbili na kujikausha.Mhusika asipewe hata Mia zilipwe direct chuoni