Mrejesho: Naomba msaada wa ada

Na
Na wewe ni mbabaishaji tu....ushasema kuwa uchangii hata mia,sasa hizo contact za principal we za nini? Acha wenye nia ya dhati waulizie sio wewe.
 
Mjapokuwa wajinga....
Hakika hii kazi haitapita bure.

Matthew25:31-40
Proverb 19:17
 
Nimekuambia nimekufatilia long time ago,kuna mhitaji aliwahi kuja hapa uliongea shit sana.ila akajitolea member mmoja 150000 aende interview moshi.USIOMBE YAKUKUTE.kwani ukipita kimya kimya utawashwa?
Yule jamaa wa interview hata mimi nilimtilia shaka
 
Nawashukuru sana wote,mbarikiwe.

Namba zangu ni :0677421378-Robin Miho,Tigo.

-0776741545-zantel,Miho
 
Siamini ninachokiona hapa ila natamani kujuwa imekuwaje hebu nipen basi hizi taarifa chanzo chake wakuu nani kaileta taarifa hii kuwa dogo hatunae
 
Siamini ninachokiona hapa ila natamani kujuwa imekuwaje hebu nipen basi hizi taarifa chanzo chake wakuu nani kaileta taarifa hii kuwa dogo hatunae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…