Mimi na mpenzi wangu tumefumaniana, ni aibu sana kuelezea

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,700
9,778
Inasikitisha sana,

Basi bhana, mida ya saa kumi siku ya jana, nabahatika kumuona mtoto mzuri i.e mama Africa kutokana na rangi yake ya super black beauty akitimiza ahadi yake aliyonipatia asubuhi kwenye simu kuwa atakuja kuniona. Labda tumuite Janeth, mtoto mwenye bonge la mtako usioelezeka, yaani ukimtazama tu lazima mkuyenge uanze kuwasha.

Janeth: Oh Melki (huku akicheka cheka kama kaona wallet nyeusi) mambo.
Mimi: Poa Janeth, mzima?
Janeth: Mi mzima Melki, nikaona nisivunje ahadi yangu. Nimepita ili kukuona.
Mimi: Basi, ngoja nifunge mapema twende kwangu.
Janeth: Kwako? Nikafanye nini huko?
Mimi: Nimenunua pasi ya gesi, twende ukaione.
Janeth: Ila wanaume bhana, kwa hiyo umechukulia mimi ni mtoto kiviiile?
Mimi: Hapana Janeth, means uniamini? Kwani nishakudanganya jambo lipi ndani ya hii wiki yetu ya mahusiano?
Janeth: Sorry Melki, kwani umechukia? Sawa tutaenda. Lakini, hiyo pasi haiwezi kuunguza vitu? Maake gesi si mchezo. Ngoja niangalie vigauni hapo halafu twende. Sawa mpenzi?

Muda huo kamoyo kangu kanarukaruka kwa furaha na bashasha. Nilibaki kuuangalie ule mzigo jinsi unavyonesa nesa kwenye fremu ya like duka la nguo opposite na duka langu la vipodozi.

Mara ghafla nilishtushwa na maongezi ya sauti ya mpenzi wangu, Jenipha ikijibizana na ile ya Janeth. Maongezi yao yalifanyika kana kwamba wao ni ndugu, na inavyoonesha wao ni watoto wa mama kabisa na inawezekana wakawa wanaishi nyumbani kwao au wana tabia ya kutembelea kwao mara kwa mara. Si unajua tena mambo ya wanawake? Zile za "Nakupenda sana Janeth/ Jenipha" zilitaradadi.

Baada ya mazungumzo, mpenzi wangu wa miezi miwili sasa, Jenipha, ambaye mpaka sasa nimemgegedua mara mbili akaamua kuniface, kama kawaida yake, hupitiliza hadi upande wa ndani wa duka na kuniwao, hii kitu haipingiki.

Muda ule Janeth yuko mbele yangu akitazama lile kumbato kwa mshtuko mkali. Dakika kama tano hivi, Jenipha aliigundua situation ya ndugu yake, ndipo akagundua kitu na kuniuliza "Melki kipi kinaendelea hapa?" Baada ya majibizano ya kama dk 5 hivi, Janeth aliamua kuondoka, hapo ndipo alipofanya kosa na kuniachia nafasi ya kupinga, kukataa kata kata kosa.

Tukiwa katika hali ile huku Jenipha akibubujisha machozi na kunituhumu kuwa mimi ni shetani wa Mbosso, ghafla alikuja kijana mmoja ambaye ana kiduka chake cha urembo, kucha bandia na massage za miguu i.e kuhudumia warembo kwa ujumla.

Ndipo kumshtua binti Jenipha, "Vipi, mbona unanchelewesha? Unanunua lotion gani hiyo isiyonunulika? Fanya haraka tuondoke". Binti akaitikia,"Poa, ngoja nimtaarifu na mdogo wangu ajiandae". "Hivi Mary umechanganyikiwa? Hizo propaganda unatoa wapi? Au unataka kuharibu pesa yangu ambayo tayari nshalipia lodge?".

"Hivi we kaka vipi? Umechanganyikiwa, nilishakwambia utani wako kazini siuhitaji, na kama utaendelea ntampigia simu boss nimueleze". "Mary, nahisi una mapepo, hauko sawa kiakili siku ya leo, Mary kipenzi nitazame kwanza".

"Toka hapa, niachie huko, hunijui sikujui. Melki, huyu simfahamu, sijui hata ananifuata fuata kwanini. Mimi hata simjui huyu". "Aha, leo ndo hunifahamu? Fresh, zitameet tu one day, leo si unanikataa. Poa haina shida"."Nimesema sikujui, kwanza mimi sio Mary, mimi ni Jenipha, mjinga wewe". Baada ya hapo kijana akatokomea.

Huyu kijana kwanza alikuja akiwa amelewa that's why walishindwa kuendana code za maficho na binti. Binti mwenyewe hajui kuongopea. Binafsi nikausoma mchezo ukizingatia nilikuwa nampiga kavu, dah! Istoshe anakanyagwa na kijana mpaka kucha rangi i.e kijana wa watu, nikajikuta namfariji tu binti kinafki.

Tukio ni la jana jioni mida ya saa 11. Mpaka sasa hakuna aliyenipigia simu. Hii imenikumbusha kale ka msemo ka "Dereva haoni mbele (mimi) na abiria haoni mbele (Jenipha), sasa we jitokeze mbele ujifanye huoni mbele(Janeth), mtajuana mbele kwa mbele (kijana wa kucha).

Ni hayo tu.

255657548_1307561706367995_7263478700266927832_n.jpg
 
Inasikitisha sana,
Basi bhana, mida ya saa kumi siku ya jana, nabahatika kumuona mtoto mzuri i.e mama africa kutokana na rangi yake ya super black beauty akitimiza ahadi yake aliyonipatia asubuhi kwenye simu kuwa atakuja kuniona. Labda tumuite Janeth, mtoto mwenye bonge la mtako usioelezeka, yaani ukimtazama tu lazima mkuyenge uanze kuwasha

Janeth: Oh Melki (huku akicheka cheka kama kaona wallet nyeusi) Mambo
Mimi: Poa Janeth, mzima
Janeth: Mi mzima melki, nikaona nisivunje ahadi yangu. Nimepita ili kukuona
Mimi: Basi, ngoja nifunge mapema twende kwangu
Janeth: Kwako? Nikafanye nini huko?
Mimi: Nimenunua pasi ya gesi, twende ukaione
Janeth: Ila wanaume bhana, kwa hiyo umechukulia mimi ni mtoto kiviiile
Mimi: Hapana Janeth, means uniamini? Kwani nishakudanganya jambo lipi ndani ya hii wiki yetu ya mahusiano?
Janeth: Sorry Melki, kwani umechukia? Sawa tutaenda.... Lakini, hiyo pasi haiwezi kuunguza vitu? Maake gesi si mchezo.... Ngoja niangalie vigauni hapo halafu twende. Sawa mpenzi?

Muda huo kamoyo kangu kanarukaruka kwa furaha na bashasha. Nilibaki kuuangalie ule mzigo jinsi unavyonesa nesa kwenye fremu ya like duka la nguo opposite na duka langu la vipodozi

Mara ghafla nilishtushwa na maongezi ya sauti ya mpenzi wangu, Jenipha ikijibizana na ile ya Janeth. Maongezi yao yalifanyika kana kwamba wao ni ndugu, na inavyoonesha wao ni watoto wa mama kabisaaa na inawezekana wakawa wanaishi nyumbani kwao au wana tabia ya kutembelea kwao mara kwa mara. Si unajua tena mambo ya wanawake? Zile za "Nakupenda sana Janeth/ Jenipha" zilitaradadi

Baada ya mazungumzo, mpenzi wangu wa miezi miwili sasa, Jenipha, ambaye mpaka sasa nimemgegedua mara mbili akaamua kuniface, kama kawaida yake, hupitiliza hadi upande wa ndani wa duka na kuniwao, hii kitu haipingiki. Muda ule Janeth yuko mbele yangu akitazama lile kumbato kwa mshtuko mkali. Dakika kama tano hivi, Jenipha aliigundua situation ya ndugu yake, ndipo akagundua kitu na kuniuliza "Melki kipi kinaendelea hapa?", baada ya majibizano ya kama dk 5 hivi, Janeth aliamua kuondoka, hapo ndipo alipofanya kosa na kuniachia nafasi ya kupinga, kukataa kata kata kosa

Tukiwa katika hali ile huku Jenipha akibubujisha machozi na kunituhumu kuwa mimi ni shetani wa Mbosso, ghafla alikuja kijana mmoja ambaye ana kiduka chake cha urembo, kucha bandia na massage za miguu i.e kuhudumia warembo kwa ujumla, ndipo kumshtua binti Jenipha, "vipi, mbona unanchelewesha? Unanunua lotion gani hiyo isiyonunulika? Fanya haraka tuondoke". Binti akaitikia,"Poa, ngoja nimtaarifu na mdogo wangu ajiandae". "Hivi Mary umechanganyikiwa? Hizo propaganda unatoa wapi? Au unataka kuharibu pesa yangu ambayo tayari nshalipia lodge?". "Hivi we kaka vipi? Umechanganyikiwa, nshakuambia utani wako kazini siuhitaji, na kama utaendelea ntampigia simu boss nimueleze". "Mary, nahisi una mapepo, hauko sawa kiakili siku ya leo, Mary kipenzi nitazame kwanza". "Toka hapa, niachie huko, hunijui sikujui. Melki, huyu simfahamu sijui hata ananifuata fuata kwanini. Mimi hata simjui huyu". "Aha, leo ndo hunifahamu? Fresh, zitameet tu one day, leo si unanikataa. Poa haina shida"."Nimesema sikujui, kwanza mimi sio Mary, mimi ni Jenipha, mjinga wewe". Baada ya hapo kijana akatokomea

Huyu kijana kwanza alikuja akiwa amelewa that's why walishindwa kuendana code za maficho na binti. Binti mwenyewe hajui kuongopea. Binafsi nikausoma mchezo ukizingatia nilikuwa nampiga kavu, dah! Istoshe anakanyagwa na kijana mpaka kucha rangi i.e kijana wa watu, nikajikuta namfariji tu binti kinafki

Tukio ni la jana jioni mida ya saa 11. Mpaka sasa hakuna aliyenipigia simu.

Hii imenikumbusha kale ka msemo ka "Dereva haoni mbele (mimi) na abiria haoni mbele (Jenipha), sasa we jitokeze mbele ujifanye huoni mbele(Janeth), mtajuana mbele kwa mbele (kijana wa kucha)

Ni hayo tu View attachment 2423771
Una stori za hovyo sana
 
Inasikitisha sana,

Basi bhana, mida ya saa kumi siku ya jana, nabahatika kumuona mtoto mzuri i.e mama Africa kutokana na rangi yake ya super black beauty akitimiza ahadi yake aliyonipatia asubuhi kwenye simu kuwa atakuja kuniona. Labda tumuite Janeth, mtoto mwenye bonge la mtako usioelezeka, yaani ukimtazama tu lazima mkuyenge uanze kuwasha.

Janeth: Oh Melki (huku akicheka cheka kama kaona wallet nyeusi) mambo.
Mimi: Poa Janeth, mzima?
Janeth: Mi mzima Melki, nikaona nisivunje ahadi yangu. Nimepita ili kukuona.
Mimi: Basi, ngoja nifunge mapema twende kwangu.
Janeth: Kwako? Nikafanye nini huko?
Mimi: Nimenunua pasi ya gesi, twende ukaione.
Janeth: Ila wanaume bhana, kwa hiyo umechukulia mimi ni mtoto kiviiile?
Mimi: Hapana Janeth, means uniamini? Kwani nishakudanganya jambo lipi ndani ya hii wiki yetu ya mahusiano?
Janeth: Sorry Melki, kwani umechukia? Sawa tutaenda. Lakini, hiyo pasi haiwezi kuunguza vitu? Maake gesi si mchezo. Ngoja niangalie vigauni hapo halafu twende. Sawa mpenzi?

Muda huo kamoyo kangu kanarukaruka kwa furaha na bashasha. Nilibaki kuuangalie ule mzigo jinsi unavyonesa nesa kwenye fremu ya like duka la nguo opposite na duka langu la vipodozi.

Mara ghafla nilishtushwa na maongezi ya sauti ya mpenzi wangu, Jenipha ikijibizana na ile ya Janeth. Maongezi yao yalifanyika kana kwamba wao ni ndugu, na inavyoonesha wao ni watoto wa mama kabisa na inawezekana wakawa wanaishi nyumbani kwao au wana tabia ya kutembelea kwao mara kwa mara. Si unajua tena mambo ya wanawake? Zile za "Nakupenda sana Janeth/ Jenipha" zilitaradadi.

Baada ya mazungumzo, mpenzi wangu wa miezi miwili sasa, Jenipha, ambaye mpaka sasa nimemgegedua mara mbili akaamua kuniface, kama kawaida yake, hupitiliza hadi upande wa ndani wa duka na kuniwao, hii kitu haipingiki.

Muda ule Janeth yuko mbele yangu akitazama lile kumbato kwa mshtuko mkali. Dakika kama tano hivi, Jenipha aliigundua situation ya ndugu yake, ndipo akagundua kitu na kuniuliza "Melki kipi kinaendelea hapa?" Baada ya majibizano ya kama dk 5 hivi, Janeth aliamua kuondoka, hapo ndipo alipofanya kosa na kuniachia nafasi ya kupinga, kukataa kata kata kosa.

Tukiwa katika hali ile huku Jenipha akibubujisha machozi na kunituhumu kuwa mimi ni shetani wa Mbosso, ghafla alikuja kijana mmoja ambaye ana kiduka chake cha urembo, kucha bandia na massage za miguu i.e kuhudumia warembo kwa ujumla.

Ndipo kumshtua binti Jenipha, "Vipi, mbona unanchelewesha? Unanunua lotion gani hiyo isiyonunulika? Fanya haraka tuondoke". Binti akaitikia,"Poa, ngoja nimtaarifu na mdogo wangu ajiandae". "Hivi Mary umechanganyikiwa? Hizo propaganda unatoa wapi? Au unataka kuharibu pesa yangu ambayo tayari nshalipia lodge?".

"Hivi we kaka vipi? Umechanganyikiwa, nilishakwambia utani wako kazini siuhitaji, na kama utaendelea ntampigia simu boss nimueleze". "Mary, nahisi una mapepo, hauko sawa kiakili siku ya leo, Mary kipenzi nitazame kwanza".

"Toka hapa, niachie huko, hunijui sikujui. Melki, huyu simfahamu, sijui hata ananifuata fuata kwanini. Mimi hata simjui huyu". "Aha, leo ndo hunifahamu? Fresh, zitameet tu one day, leo si unanikataa. Poa haina shida"."Nimesema sikujui, kwanza mimi sio Mary, mimi ni Jenipha, mjinga wewe". Baada ya hapo kijana akatokomea.

Huyu kijana kwanza alikuja akiwa amelewa that's why walishindwa kuendana code za maficho na binti. Binti mwenyewe hajui kuongopea. Binafsi nikausoma mchezo ukizingatia nilikuwa nampiga kavu, dah! Istoshe anakanyagwa na kijana mpaka kucha rangi i.e kijana wa watu, nikajikuta namfariji tu binti kinafki.

Tukio ni la jana jioni mida ya saa 11. Mpaka sasa hakuna aliyenipigia simu. Hii imenikumbusha kale ka msemo ka "Dereva haoni mbele (mimi) na abiria haoni mbele (Jenipha), sasa we jitokeze mbele ujifanye huoni mbele(Janeth), mtajuana mbele kwa mbele (kijana wa kucha).

Ni hayo tu.

View attachment 2423771
Wewe jamaa unanifurahisha sana mdogo wangu na mikasa yako.

Fanya uanze kuuza na cocopulp hapo kwenye duka lako maana inaonekana wewe ni mafia sana
 
Kumbe shule zimeshafungwa eh?
 
Kwahyo bado hujala mzigo?

Sent from my TECNO CG7 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom