MREJESHO: Makubaliano na Gazeti la Kisiwa kuhusu simulizi ya 'GERANIMO E.K.I.A'

Sasa mkuu by special request andaa story ya maisha ya Pablo Escobar mpaka alivyouwawa Medellin Colombia.

Nayo ni matata sana.
Mkuu huyo mtu alikuwa balaa tupu....amewahi kuwa mwalifu tajiri zaidi duniani(sidhani kama rekodi yake imeshafikiwa).
 
Hii ni habari njema kabisa.
Niliona uzi wako wa malalamiko kuhusu hili,niliusoma lakini nikawa disappointed sana na response ya members wengi waliochangia uzi ule.
Ikabidi nikae kimya maana niliona kabisa ningeishia kugombana nao mwisho nikapata tuhuma za 'maslahi binafsi'.

Kiukweli kabisa,am proud of you The bold.
Mungu abarik kazi ya akili yako (kazi zako zinatumia akili kubwa sana na sio mikono~nguvu)

Asante kwa Shukraan,tuko pamoja.
Siwezi kusubiri kigongo kingine kikali kutoka kwako.
I truly adrime you.
Kigongo kingine kiko njiani kinakuja!
Nikushukuru tena kwa kunitia moyo.. Maana kuna mda watu wanakuja juu kukukatisha tamaa mpaka unaumia moyoni!

Nashukuru sana Nifah kwa kusapoti kazi ya akili yangu..
 
Mkuu The bold, mimi ni mmoja wa watu waliokupinga! Samahani sana! Nilikuwa nimeona hiyo story yako sehemu nyingine kwenye internet nikadhani imeandikwa na huyo jamaa. Lakini nimegundua sivyo. Na nimefuatilia nikakuta umeandika story nyingine ambazo zina quality nzuri tu. Hongera sana! Nikutie moyo na kukushauri uifanye hii talent kama moja ya sehemu ya kuburudisha, kuelimisha na kujiongezea kipato. Nimefurahi zadi baada ya kugundua unaandika kiswahili kizuri na hakuna makosa ya kisarufi yaliyozoeleka kwenye maandishi mengi ya kibongo. Keep it up mkuu!!!!!
Usijali Mkuu! No hard feelings..

Nashukuru sana ushauri na kunitia moyo
 
Mkuu huyo mtu alikuwa balaa tupu....amewahi kuwa mwalifu tajiri zaidi duniani(sidhani kama rekodi yake imeshafikiwa).
Pablo alichoma moto US dolar milioni 2 ili tu kumfanya binti yake asipatwe na baridi. Walikuwa wamejificha katika safe house yao na hakuweza kutoka nje na hakuwa na kitu kingine cha kuunguza kuni kwenye fireplace. Nyumba ilikuwa imejaa hela, akachukua dola milioni mbili akazichoma moto.
 
Yeah ni kweli huyo muuza unga alikuwa tajiri sana.Alitumia dollar 1000 kila wiki kununua rubber bands kwaajili ya kufungia maburunguti ya noti. Kama The bold akifanikiwa kutengeneza hii story itakuwa kali sana.....ina matukio mengi mno ya kusisimua.
 
Dollar 2,500 kwa mwezi mazee, sio 1,000.

http://www.businessinsider.com/pablo-escobar-and-rubber-bands-2015-9

In a 2009 interview with Don Juan magazine, Escobar's only son, Juan Pablo Escobar — who has since changed his name to Sebastian Marroquin — claimed that his father once torched $2 million in crisp banknotes in order to keep his family warm while they were on the run.

While hiding or destroying the exorbitant amount of money was one issue, the brothers faced another much more elementary problem — neatly organizing the banknotes.

According to Roberto Escobar, the cartel spent an estimated $2,500 a month on rubber bands needed to hold stacks of bills together.
 
Kigongo kingine kiko njiani kinakuja!
Nikushukuru tena kwa kunitia moyo.. Maana kuna mda watu wanakuja juu kukukatisha tamaa mpaka unaumia moyoni!

Nashukuru sana Nifah kwa kusapoti kazi ya akili yangu..

Kwakweli una moyo sana.Ningekuwa mimi na short tempered yangu hii ile siku ningekula ban.
Unlike... Wewe ni mtu makini sana.Hukupanic wala kuterereka.
Leo hii waungwana wanakutaka radhi...wagumu wanakausha ila ni dhahiri wamepata aibu.

Siwezi kusubiri

Karibu...mimi ni mfuasi wako sasa.
Cheers
 
Dollar 2,500 kwa mwezi mazee, sio 1,000.

http://www.businessinsider.com/pablo-escobar-and-rubber-bands-2015-9

In a 2009 interview with Don Juan magazine, Escobar's only son, Juan Pablo Escobar — who has since changed his name to Sebastian Marroquin — claimed that his father once torched $2 million in crisp banknotes in order to keep his family warm while they were on the run.

While hiding or destroying the exorbitant amount of money was one issue, the brothers faced another much more elementary problem — neatly organizing the banknotes.

According to Roberto Escobar, the cartel spent an estimated $2,500 a month on rubber bands needed to hold stacks of bills together.
Mimi nilimsoma kwenye wikipedia ambapo wameeleza alitumia us $1000 kwa wiki kwaajili ya kununua rubber bands.
 
Kwakweli una moyo sana.Ningekuwa mimi na short tempered yangu hii ile siku ningekula ban.
Unlike... Wewe ni mtu makini sana.Hukupanic wala kuterereka.
Leo hii waungwana wanakutaka radhi...wagumu wanakausha ila ni dhahiri wamepata aibu.

Siwezi kusubiri

Karibu...mimi ni mfuasi wako sasa.
Cheers
Cheeeeerss!!
 
Pablo alichoma moto US dolar milioni 2 ili tu kumfanya binti yake asipatwe na baridi. Walikuwa wamejificha katika safe house yao na hakuweza kutoka nje na hakuwa na kitu kingine cha kuunguza kuni kwenye fireplace. Nyumba ilikuwa imejaa hela, akachukua dola milioni mbili akazichoma moto.
Mkuu Kiranga si uisimulie wewe aisee,kwenye maandiko yako mara nyingi hupenda kutoa mfano wa huyu jamaa
 
Back
Top Bottom