MREJESHO: Makubaliano na Gazeti la Kisiwa kuhusu simulizi ya 'GERANIMO E.K.I.A'

Mi nataka kusimulia historia ya Magufuli mpaka alivyofika hapo.

Lakini gazeti lijiandae kabisa kwa kesi.
Ha ha ha ha na hapo utasimulia pande zote mbili uzuri na ubaya......ila kwe kesi ya uchochezi tutakuchangia ile mil.7 kama walivyofanya Arusha!!
 
Dah! Ngoja na mimi nichukulie serious niandae makala. Coz nikiandika kidogo, kati ya watu watano, watatu wanasema mi mkali wa kuandika na kuelezea. Kumbe kuna mpunga. Hebu nitonye, wamekuacha achaje, ili nipate mizuka.
 
Tupia makala mkuu! Hayo mengine usiyatilie maanani sana
 
Back
Top Bottom